Kihongosi: Kikinuka hapa Lissu ana endazake Ubelgiji

Inasemakana mashuati ndio kigezo cha yeye kuwepo hapo kutoka Iringa
 
Ni kweli kabisa atatoraka gerezani aende akimbilie nje
 
Crap!
 
Hili neno "Kukinukisha" linawaogopesha sana maccm.

Lissu aliposema kukinukisha hakufafanua zaidi ni nini kitanukia.

Viungo vya pilau huwa vinanukia.
Mchuzi ulioungwa vizuri huwa unanukia mpaka kuamsha hamu kwa majirani.
 
Usitamani Wala kuhubiri amani Kama hakuna haki maana hiyo inakuwa sio amani Bali ni kimya Cha waliokata tamaa
 
Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1960+ inakupa uhuru wa kutoa maoni
Ni haki nani wajibu wako kutoa maoni ata kama niya kipumbavu
 
Hivi hawa wapumbavu huwa hawana agenda zingine zaidi ya kuitaja Ubelgiji Lissu akiwa amewabana kwa hoja.

Huyu mpuuzi anazungumzia utawala,wa sheria upi? si ni huyu huyu alikuwa anacharaza watu viboko huo ndio utawala wa sheria?

Mlio karibu na huyo kilaza naomba mumuulize hivi kabla ya September 7 , 2017 Lissu aliwahi kuishi lini Ubelgiji zaidi hata ya mwezi mmoja.

Yaani tatizo walilitengeneza wao halafu wakajitoa ghafla hadi leo hakuna hata mtuhumiwa yotote alikamatwa kwa tukio lile na ni eneo linalolindwa saa 24.


View: https://youtu.be/zwnm2-Q78u4?si=BMcackc8BtYdZxAJ
 
Vijana wengi tulio nao ni kizazi cha 2000 after Y2K so ni ngumu sana kuwapa hizo story za maji taka na wengi hawaangalii chama wanaangalia mtu mwenye wawazo chanya

Mfano rahisi ni vijana wa Kenya, hizo mastory za kudanganyana hawana tena, and for TZ is where we are heading
 
Kwa Tanzania ni ngumu sana.... It starts all the way from school. Ujinga ni mwingi!
Watu wanakimbia debates mashuleni ndo waje kuwa na uwezo wa kutetea hoja za msingi?
Kwa mfano, unafikiri bila CAF na FIFA kuwapiga rungu TFF pale Benjamin vijana machawa waangeacha kupeperusha bendera za Bi SASHA?
 
Sound like, ila we are heading there slowly slowly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…