Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa maendeleo hayafanyiki nchini wanapotosha.
Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa maendeleo hayafanyiki nchini wanapotosha.