#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

Kwa ufupi ieleweke tu kwamba linaendeshwa la remote! Uelewa mdogo sana!!
 
Mimi Nafikiri tuwe tunatofautisha kupinga na kutoa maoni.wewe umesema jambo hili ni Hiari.siyo lazima. Maana yake hakuna agizo hapo ambalo limepingwa.
 
Kuchanjwa ni hiari siyo lazima, kwani pole pole ana makosa gani si maoni yake? bahati nzuri hajatolea maoni bungeni ametoa maoni km raia wa kawaida.
 
Huyo Kihongosi hakuna anachokijua, kwanza hana capacity ya kupambana na Polepole, atulize mfereji na kujipendkeza kwake kwa Miss Utalii
 
Mbona chanjo ni hiari polepole maoni yake yamekuwa mabaya tena kenan vipi tena bro kuwa na akiba ya maneno . Chanjo hailazimishwi kila mtu ana njia yake kupambana nayo
 
Mwambieni huyo mtu asimtishie HP na iwapo akidhurika baada ya matamshi yake kuanzia sasa ni lazima atawajibika kwa mjibu wa sheria
 
wakuu hivi pole pole huwa ni kijana au ni mzee? dah!!! ile sura haieleweki.
 
Huku Gwajima kule Polepole Sukuma Gang wameanza kazi, nyuma ya hao akina Polepole kuna kundi kubwa sana linalompinga Mzenji, yetu macho kwasasa!!
Kimsingi kundi hilo linapinga kwa maslahi binafsi kwakuwa limewekwa nje ya maamuzi ndani ya Serikali na Chama.

Kitendo cha Polepole kuendesha kampeni za kuipinga chanjo inayopigiwa chapuo na Rais na Mwenyekiti wake wa CCM ni kiashiria kuwa ana chuki binafsi na uongozi wa sasa. Mtu muungwana angekaa kimya na bytheway chanjo ni hiari sio lazima.
 
Wapinzani wanachelewesha maendeleo.Ukiona ccm wanararuana jua ule mwisho umefika
 


I ngekuwa hivyo wanaokataa chanjo wasingeonekana ni wapinzani. Liko tatizo tena kubwa pahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…