#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

Ni kweli serikali imeshasema suala la chanjo ni hiari,hivyo anachofanya mh.Polepole siyo sawa kuwachanganya wananchi kwani yeye siyo mtaalam wa afya.ilikuwa ni lazima kuleta chanjo kwa makundi ambayo huwezi kuwanyima fursa hiyo kama mabalozi,taasisi za kimataifa, watu wa mataifa ya nje ambao nchi zao zimeshaweka sharti la lazima,pia wananchi ambao wanasafiri nje iwe kibiashara ama shughuli nyingine(kwani mataifa mengi swala hili ni lazima) pia wazee na wengine wenye uhitaji.Ukiwa kiongozi wa nchi lazima uangalie makundi yote.Yeye na wengine kama hawataki basi wakae tu kimya na maisha ya endelee,kama Mh.Mbunge kuna kero nyingi za kimaendeleo zinazokabili wananchi ndio ni vyema aishauri serikali.
 
Kihongosi
Ninaunga mkono ushauri wa katibu Mkuu UVCCM ,japokuwa Mheshimiwa Mbunge ana Uhuru wa kusema,ni vema akachagua maneno ya kusema na majukwaa ya kusemea.Aidha ni vema atambue kuwa Rais SSH ni Rais Kama alivyokuwa Rais JPM,mbona wakati wanutawala wa serikali ya awamu ya tano,hakujitokeza hadharani kupinga maamuzi yoyote,au ni nongwa kwa kuondolewa kwenye ukatibu uenezi wa CCM.
 
Polepole hajampinga mtu wala hajamkosea adabu mtu yeyote!

Afadhali yeye anasimamia misimamo yake aliyokuwa nayo toka enzi za Magufuli na ni haki yake kusema anachoamini ndio democrasia hiyo!

Yeye Kihongosi anajipendekeza kwa watawala ili kutetea ugali wake, akitolewa hapo atarudi kula fitofu kule kilolo!

Kina kihongosi ninaowajua mimi siyo wajinga kama huyu,
 
Polepole hajampinga mtu wala hajamkosea adabu mtu yeyote!

Afadhali yeye anasimamia misimamo yake aliyokuwa nayo toka enzi za Magufuli na ni haki yake kusema anachoamini ndio democrasia hiyo...
Wote wale ni wajinga tupu
 
Sio Polepole wala Askofu Gwajima kwamba wana makosa, Hawana kosa hata kidogo, Hata mimi nasisitiza, Watu hawa waendelee na msimamo wao hadi jopo la wataalamu kutoka w/ya Afya watakapokuja na majibu ya maswali yao

Nahitimisha kwa kusema...! Kwa kuchanjwa kwake, sisi tumepona!
 
Back
Top Bottom