#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

#COVID19 Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

Naona wanalipa kisasi jinsi Polepole alivyowafanyia ubaya enzi za mwendazake. Bashiru yupo wapi jamani ?
Naona leo wamemuamulia wengi aliowanyanyasa enzi zake za mavieitee
Screenshot_2021-08-08-21-54-28-1.png
 
M
uhuni upi anaoujua polepole😀😀😀, kabaki kuwa mbunge wa viti maalum eti anajua uhunu wa chama😀😀😀😀
Mbinu za kimafya kwenye kampeni mlikuwa wote?
Kuwanunua wabunge covid 19 Pole2 unafikiri hajui.
Mmuguse anuke
 
uhuni upi anaoujua polepole[emoji3][emoji3][emoji3], kabaki kuwa mbunge wa viti maalum eti anajua uhunu wa chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usione anaongea hivyo public! Nyuma kuna watu wanamtuma! Hivi unadhani bila yakusimama kidete CDF Mabeyo,unadhani Samia angekua Rais?? Unadhani kina Makubi kutolewa na Bashiru kutolewa kwenye u Chief Secretary,unadhani ni accidentally??
 
Polepole pia alikuwa anawaambia akina Membe wakae kimya kutokana na kiburi alichopewa na magu. Kwa sasa Polepole anakutana na kile alichokuwa anakifanya kwa wengine, what goes around comes around.
Asante Sana mkuu kwa kutufukulia makaburi. Maana Kuna watu washasahau maujinga ya Polepole na Sasa wanamuonea huruma.
 
Hivi huyo Kihongosi ndio msemaji wa chama cha kijani siku hizi?
 
Asante Sana mkuu kwa kutufukulia makaburi. Maana Kuna watu washasahau maujinga ya Polepole na Sasa wanamuonea huruma.
Huyo Polepole ni wa kuwamvua hata huo ubunge wa dezo akajipange upya. Uzuri kashalikoroga, hana support ndani ya ccm, wala kwa wapinzani waliompaisha kipindi cha katiba mpya.
 
Hili neno " kimiya" maana yake nini?

Mkuu,

Kwa nilivyoelewa alitaka kumaanisha Kimya

Yawezekana ni typing error kutokana na matumizi ya simu janja.

Lakini yawezekana mwandishi alikuwa kwenye

jazba kali sana ambayo ilimfanya aandike na

aposti bila kufanya proofreading.

Tuendelee kunywa mtori... Nyama ziko chini!

Shukrani
 
Mwakibinga ni yule DED wa Temeke au?nitarudi nikijibiwa
 
Back
Top Bottom