mikono yangu koma........nilitaka kuandika kitu...... 😡Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa:
“Dkt. Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania.”
Kila mtu ana namna zake za kujibuAkiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa:
“Dkt. Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania.”
Kihongosi acha unafiki wa kihehe! Huyu bibi wa nywinyinywi na nywanywanywa na mipasho ile ya kipashkuna Kama hukuisikia au nawe ulikuwa chura kiziwi ni sawa.Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa:
“Dkt. Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania.”