Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 301
- 856
DaaahAlinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai ππView attachment 3242711
This is,Alinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai ππView attachment 3242711
Kwa sababu ni mbongo, au hujui kiingereza cha bongo kilivyo?Mbona hata wewe kiingereza chako ni cha juhudi binafsi?
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!Alinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai ππView attachment 3242711
Juhudi binafsi[emoji16]Mbona hata wewe kiingereza chako ni cha juhudi binafsi?
Ila anaeleweka ukimsoma japo wewe na yeye hampo grammatically
Hudhuria debate kwenye shule za kata ili ujue tunavyokusikia ukiongea kiingereza. Matamshi yao ni kama yako.Kwa sababu ni mbongo, au hujui kiingereza cha bongo kilivyo?
π-Geraraa hia
-Yu gerrit if yu don gerrit foger abaurit
HeheheAnaomba namba kwani hapo ana chat na nani?
Saint kayumba moja hiyo π€£Hudhuria debate kwenye shule za kata ili ujue tunavyokusikia ukiongea kiingereza. Matamshi yao ni kama yako.
Pipa na Mfuniko.Alinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai ππView attachment 3242711