Kiingereza bado ni lugha ngumu sana kwa wanaume wa kibongo

Kiingereza bado ni lugha ngumu sana kwa wanaume wa kibongo

Madhara ya KAYUMBA SCHOOLS.bila kubadili lugha ya kufundishia watanzania wataendelea na kiingereza kibovu.Ndiyo maana hata kwenye mikataba ya Nchi Huwa tunaliwa na mabeberu Kwa sababu wawakilishi wetu wanajua kiswahili,Hivyo,kwenye mazungimzo ya kiuwekezaji na mabeberu Huwa wanabaki kusema tu yes yes yes hata kwenye hasara Kwa taifa
Sio kweli mkuu, saint kayumba zipo vizuri sana, hao wanafeli lugha hutoroka vipindi....

Hao viongozi na wa kukubali tu yes yes ni vilaza tu...

Siku hizi hakuna kutetana, kuna wakalimali huko mtandaoni yaani ni kugusa tu kishikwambi kinakutafsiria, sema hao wawakilishi wenu ni wavivu wa kujifunza
 
Wanajifunza ila sio ki mindset kma yetu bhn unataka kuniambia mchin akipiga broken atachekwa kma sisi kubali colonial mindset is still eating you
Sasa habari ya kuchekwa hiyo ni personal, km unaogopa kuchekwa basi bado premature, kwani mzungu anapobreak kiswahili we unamcheka? Kwa nn we unahisi ukibreak kizungu utachekwa?
 
Back
Top Bottom