Kiingereza bado ni lugha ngumu sana kwa wanaume wa kibongo

Hakuna uhusiano wa kusoma shule za kayumba na kujua lugha ya kingereza sawa?
Nilisoma Kayumba Ila nikiongea na raia wa nchi zenye baridi anayeongea lugha ya kiingereza mwisho lazima ataniuliza “umewahi kuishi nchi gani nje na Afrika? “Au lazima atauliza “Wewe ni mtanzania kweli?!”

Matoto yetu hayataki kujifunza na kusoma tu.

Dunia yetu Ina vitu vingi tu Ila Kila mtu huamua kuchagua yeye anapenda na anataka nini
 
Vizuri sana
 
Endelea kubishana na uhalisia sina muda mimi wa kupoteza

Usipoteze muda wako na hamna mwenye muda wa kupoteza but aibu ni ujinga na utoto, anayetafuta (including kujua lugha) hana aibu, kama humcheki mchina wala mzungu kuvunja kiswahele basi hata wao hawana time ya kukucheka na unaogopaje kuchekwa wakati unajifunza?
 
Kiaz kibichi kwan huyu anaemcheka mwenzake ni mzungu?
 
Back
Top Bottom