Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nikukumbushe tu kiingereza sio kizunguBora uolewe na BICHWA KOMWE anajua KIZUNGU.
Njoo ntakufundisha bureQashy Lilith njoo uone huku maana tunagombana kila siku kuhusu hili suala la kuniongelesha Inglishi.
Unauhakika? Mfano Kuna shule Moja ya kayumba inawalimu wawili wa hesabu na kiswahili.kweli hii shule atatika mwanafunzi anayezungumza kiingereza Kwa ufasaha?Hakuna uhusiano wa kusoma shule za kayumba na kujua lugha ya kingereza sawa?
Unapita mulemule ni jana tu hapa nimekwambia Rolimodo wangu Dizasta vina anasema 'vya bure gharama'Njoo ntakufundisha bure
Wanaume na wanawakeIla anaeleweka ukimsoma japo wewe na yeye hampo grammatically
Huyu alikua anataka kuomba mbususu bana sio mambo makubwa hivyo! Hii kauli inatumiwa sana kujifariji, wakati wachina wenyewe wapo busy kujifunza vizungu vyoteChina wameendelea bila kiingereza tusiwe na akili za kikoloni hivi
Muongo shule gani hio?Unauhakika? Mfano Kuna shule Moja ya kayumba inawalimu wawili wa hesabu na kiswahili.kweli hii shule atatika mwanafunzi anayezungumza kiingereza Kwa ufasaha?
Mwanaume wako wa huko ndani ndaniAlinitext kwa kiswahili nikampeleka kwenye hiyo lugha ya mama, heheheee mwamba kumbe hajui kutema yai ππView attachment 3242711
ππMwanaume wako wa huko ndani ndani
Wanajifunza ila sio ki mindset kma yetu bhn unataka kuniambia mchin akipiga broken atachekwa kma sisi kubali colonial mindset is still eating youHuyu alikua anataka kuomba mbususu bana sio mambo makubwa hivyo! Hii kauli inatumiwa sana kujifariji, wakati wachina wapo busy kujifunza vizungu vyote
Sio kweli mkuu, saint kayumba zipo vizuri sana, hao wanafeli lugha hutoroka vipindi....Madhara ya KAYUMBA SCHOOLS.bila kubadili lugha ya kufundishia watanzania wataendelea na kiingereza kibovu.Ndiyo maana hata kwenye mikataba ya Nchi Huwa tunaliwa na mabeberu Kwa sababu wawakilishi wetu wanajua kiswahili,Hivyo,kwenye mazungimzo ya kiuwekezaji na mabeberu Huwa wanabaki kusema tu yes yes yes hata kwenye hasara Kwa taifa
Mtafute fasta Ras Simbangoja nimtafute Ras Simba atatue hili tatizo..
Hutaki kusaidika weweUnapita mulemule ni jana tu hapa nimekwambia Rolimodo wangu Dizasta vina anasema 'vya bure gharama'
Sasa habari ya kuchekwa hiyo ni personal, km unaogopa kuchekwa basi bado premature, kwani mzungu anapobreak kiswahili we unamcheka? Kwa nn we unahisi ukibreak kizungu utachekwa?Wanajifunza ila sio ki mindset kma yetu bhn unataka kuniambia mchin akipiga broken atachekwa kma sisi kubali colonial mindset is still eating you
Endelea kubishana na uhalisia sina muda mimi wa kupotezaSasa habari ya kuchekwa hiyo ni personal, km unaogopa kuchekwa basi bado premature, kwani mzungu anapobreak kiswahili we unamcheka? Kwa nn we unahisi ukibreak kizungu utachekwa?