Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kwani kingereza ndio ishara ya kuonyesha umesoma?? Au umefanikiwa acha mawazo ya kikoloni hizo lugha nyingine tumeletewa .... Kijana Tafuta hela acha kusengenya wanaume wenzako

sent from HUAWEI
 
Kwani kingereza ndio ishara ya kuonyesha umesoma?? Au umefanikiwa acha mawazo ya kikoloni hizo lugha nyingine tumeletewa .... Kijana Tafuta hela acha kusengenya wanaume wenzako

sent from HUAWEI
Lazima tuseme aise
 
Vipi kuhusu mkwanja alionao?yaani pamoja na maendeleo aliyo nayo kutokujua kizungu kunamfanya asiwe lolote?
Unataka kusema kijana anayesaga lami mjini kutafuta ajira lakini anajua kizungu vzr kama Tony brair ni bora zaidi na ana maana zaidi kuliko Diamond anayemiriki media company na utajiri wa mabilioni ya shilingi!?
 
Reactions: Qwy

Asije kusema tu i garrah pussy..

Maana itakuwa aibu ya aina yake. Diamond ni jinga hovyo sana kichwani.
 
Mi nilijua najisikia peke yangu na ule mdomo wake anavyoulambalamba kama mtoto wa kenge huku akisema"A gala.....,A gala.... basi mpaka unasikia tumbo linavurugika kutapika kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had kupaliwa hapa, uwiiiiih
 
Kingereza cha kiba ulishakisikia? You know you know, kila sentensi you know.
Bora mnyama, kamaliza british sasa anacha american
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…