Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

Hahahaha imebidi tu nicheke japo tunasemwa sie Watanzania

Wakenya bana sasa mlitaka Hakimu wetu apige majagon ya Lumumba ?? Kama ndio hivyo hiyo hukumu ingetoka baada ya miaka kumi kutoka sasa
 
Ile Hukumu Kaandika Amos Makala akiwa hotelini Mbeya, Mkanda upo alipanga kumfunga miezi sita sasa kajikuta anamfunga mitano.

Wazungu hasa USAD( ambao wanatupa condom bure, Wanawatairi wasukuma bure) ndiyo wamesema ile ni aibu kwa taifa kama hili kuua upinzani
 
Cha nsingi Mtu kafungwa na kafungika na Mji wa Mbeya umetulia kinyume na matarajio Uchwara ya kuibuka Vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…