gatekeepertz
Senior Member
- Aug 14, 2016
- 180
- 236
You can't be serious!!!
BELIEVE OR NOT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can't be serious!!!
Mkuu usimlaumu mhe hakimu. Alishadeclare kuwa ile case umempa kasheshe kwake hadi akashindwa kujitoa!Kali zaidi ni hapo alipoandika ''If he contract sickness, even not serious the country currecy must lose it is value'' Kumbe ndio maana shilingi yetu inaporomoka kila siku kwani bwana mkubwa hata akipata mafua tu inaporomoka! Asante sana hakimu!
Ni vigumu sana kuamini kuwa hii hiyo 'sentence'iliabdikwa na hakimu mkazi. Hata mwanafunzi wa diploma ya sheria hawezi kuzalisha kitu cha namna hiyo.Ile Hukumu Kaandika Amos Makala akiwa hotelini Mbeya, Mkanda upo alipanga kumfunga miezi sita sasa kajikuta anamfunga mitano.
Wazungu hasa USAD( ambao wanatupa condom bure, Wanawatairi wasukuma bure) ndiyo wamesema ile ni aibu kwa taifa kama hili kuua upinzani
Aibu gani kwani Kiingereza lugha yetu.Ile Hukumu Kaandika Amos Makala akiwa hotelini Mbeya, Mkanda upo alipanga kumfunga miezi sita sasa kajikuta anamfunga mitano.
Wazungu hasa USAD( ambao wanatupa condom bure, Wanawatairi wasukuma bure) ndiyo wamesema ile ni aibu kwa taifa kama hili kuua upinzani