Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

English sio mchezo. Proofreading kwel huw n muhim sana
 
English sio mchezo. Proofreading kwel huw n muhim sana
Proof reading huwa ni kwa ajili ya makosa madogo madogo sana ya bahati mbaya. Huyu sio bahati mbaya ni kwamba ndio ukomo wake wa kuandika lugha hiyo na HAJUI zaidi ya hapo.
 
Bwahaaaaaaa... Lugha lugha lugha..woiiii.

Wanasheria wasomi hapa wamezalilika jomoniii.
Poor him.
 
Halafu huyu atakuwa alisoma kile chuo chetu pendwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] wako wapi alumni wenzie? maana wanakiteteaga sana kile chuo
 
Ni kheri ungeshauri tutumie kiswahili kwenye hzo nyaraka kuliko kutoka hukumu kwa kiingereza wakati wanaosoma ni la tatu b
 
Mimi ninachojua mtu keshavaa magwanda ya rangi ya karoti!
Na wakulima wa Mbeya wameanza kuandaa mashamba.
Hayana mwenyewe hayo hata mungu wako anaweza kuyavaa wakati ukifika
 
Ni kheri ungeshauri tutumie kiswahili kwenye hzo nyaraka kuliko kutoka hukumu kwa kiingereza wakati wanaosoma ni la tatu b
Inaelekea na wewe ni tatizo kama hakimu mwenyewe. Mtu unaweza kuandika kiingereza kisichonyooka lakini bado kikaleta sense ikitilia maanani sisi sio lugha yetu. Hapa watu wanashangazwa na ''quality'' ya hukumu. Lugha sio kitu sana. Hakimu atasemaje kuwa rais akiugua hata ugonjwa mdogo tu fedha ya nchi ni lazima ishuke thamani!
 
AiseeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nawaombeni tumfichie aibu Mheshimiwa HAKIMU, tafadhalini sana!

Anawakilisha nchi na si familia yake, amezaliwa lugha ya kwanza ni kibena, alafu kiswahili na kingereza amekikuta ukubwani tena alipokuwa anasoma elimu ya watu wazma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…