GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ruto naye aache mbwembwe sasa, mbona kinaeleweka?😁😁😄😄Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaon...
Sasa kuna kingereza ya Burmingham.Mimi mwenyewe ukiongea kiswahili cha kizanzibari sitokuelewa.
Ukiongea kile kiswahili cha kamusi ya bakita sitokuelewa...
Mimi kanitia moyo!Lahaja ya kiingerza cha marekani ni ya kipekee sana, hasa mtu unaeongea nae akiwa umbali kidogo na ulipo, afadhalli awe sambamba au jirani sana na wewe unaweza elewa, kuliko kama umbali wa ile conversation ya Ruto kutumia mic alokua anafanya Ruto na yule mbantu muwekezaji kule kenya 🐒
Naamini ni typing error, ilipaswa kuwa listening skills.Aendelee kujifuza listen skills
Ukweli ndiyo huo! Hata native speakers bado wanaendelea kujifunza.english has no owner😂😂😀
KamaaMimi kanitia moyo!
Kuna mwaka nilipata wageni kazini wanaoongea hiyo lahaja. Wakati wa mazungumzo, kuna mmoja aliniuliza kitu kumbe mimi sikumwelewa, nikajikuta natoa majibu ambayo siyo waliyoyahitaji. Bahati nzuri nilikuwa na mtu ambaye ameshaishi huko kwa miaka mingi, kwa hiyo alipoona nimeenda chaka, aliniambia sicho ulichoulizwa.
Nilijisikia vibaya sana siku hiyo. Lakini kumbe sikupaswa kujihukumi kwa kihivyo!
Kama imemshinda Mwalimu wa Chuo Kikuu cha nchini Kenya, kuna uajabu gani kwa mimi kuteleza kidogo?