Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Huyo maza mbona anaongea kawaida tu, hivi Ruto alishawahi kumskiliza yule mwamba shemeji yake Franklin kwenye Prison Break
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Ruto kaamua kufurahisha genge ila wabongo kwa ujinga wao wanajua kweli hakuwa anamuelewa huyo dada🤣🤣Ruto naye aache mbwembwe sasa, mbona kinaeleweka?😁😁😄😄
Are you?english has no owner😂😂😀
Kuna wahindi wakizungumza kiswahili Mbona utaomba mkalimani 😂😂😅😅Mimi mwenyewe ukiongea kiswahili cha kizanzibari sitokuelewa.
Ukiongea kile kiswahili cha kamusi ya bakita sitokuelewa.
Nina rafiki yangu muingereza anaishi marekani anasema yeye mwenyewe kunawakati hawaelewani kimazungumzo!
Kutokujua kiingereza sio ajabu sana maana ni lugha ina lahaja zake, ina rejesta zake, n.k
Mh. Ruto yupo sahihi sana na anajiamini.
Hapa kwetu ukionekana hujui basi ni nogwa
Ni kukuza tu mambo, wala hakuna vha ajabu hapo!! Hata leo hii mchukue mtoto wa kizaramo aliyekulia bungu, aende kanda ya ziwa uone atakavyowapa shida watu kumuelewa, anaongea kiswahili lakini ni kigumu kukielewa.Mimi mwenyewe ukiongea kiswahili cha kizanzibari sitokuelewa.
Ukiongea kile kiswahili cha kamusi ya bakita sitokuelewa.
Nina rafiki yangu muingereza anaishi marekani anasema yeye mwenyewe kunawakati hawaelewani kimazungumzo!
Kutokujua kiingereza sio ajabu sana maana ni lugha ina lahaja zake, ina rejesta zake, n.k
Mh. Ruto yupo sahihi sana na anajiamini.
Hapa kwetu ukionekana hujui basi ni nogwa
Tena Mwalimu wa Chuo Kikuu kama sikosei.Ruto ni PhD Holder kabisa
Lakini hawaoni tatizo na tunawachukulia poa tu..Kuna wahindi wakizungumza kiswahili Mbona utaomba mkalimani 😂😂😅😅
Kwa hilo tu, sina plan B DR HAYA LAND.Kamaa
Ikiwa kazi zako zinahitaji ujue kiingereza basi endelea kujifunza Sana.
Yes,Mimi kanitia moyo!
Kuna mwaka nilipata wageni kazini wanaoongea hiyo lahaja. Wakati wa mazungumzo, kuna mmoja aliniuliza kitu kumbe mimi sikumwelewa, nikajikuta natoa majibu ambayo siyo waliyoyahitaji. Bahati nzuri nilikuwa na mtu ambaye ameshaishi huko kwa miaka mingi, kwa hiyo alipoona nimeenda chaka, aliniambia sicho ulichoulizwa.
Nilijisikia vibaya sana siku hiyo. Lakini kumbe sikupaswa kujihukumi kwa kihivyo!
Kama imemshinda Mwalimu wa Chuo Kikuu cha nchini Kenya, kuna uajabu gani kwa mimi kuteleza kidogo?
😀😀😀English ya Ferguson angekimbia ruto
Ni kwa sababu anajiamini na kujikubali!Bora kawa mkweli
Sijui na mimi utaniambiaje!Ruto naye aache mbwembwe sasa, mbona kinaeleweka?😁😁😄😄
Hata Kiswahili akiongea mtu mbobevu, lazima tutafute kamusi.Lakini hawaoni tatizo na tunawachukulia poa tu..
Sema sisi tunatabia ya kujidharau na kuwadharau watu kiasi kinachopelekea wengi kuona aibu kuendelea kujifunza..
Tuna baki na ile daaah hapa nikikosea nitaonekana vipi na elimu yangu hii
Kafanyaje huyo tajiri wa magari?Dotto magari asione hii 🤣
Mbona ameeleweka tu jamani!Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄
Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American scent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.
Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.
Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.
View attachment 2997740