Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Paul Makonda, akiandika tu kwa Kiswahili anafanya makosa mengi ya kisarufi, Sasa hicho ki malkia atakiweza?Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
MULUGO amerudi tena ni Mbunge ndani ya Bunge hili la NDUGAI!Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Makonda anatafauti na bush man, hamna alijualo kwenye karne hii..Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Du apewe Uwaziri Tu maana hakuna namna. Ukimlinganisha na Kibajaji yeye ana nafuu😜😜😜MULUGO amerudi tena ni Mbunge ndani ya Bunge hili la NDUGAI!
Kweli jimbo gani? Alipamba magazeti sana kipindi kile kwa kushindwa kutamka mwaka kwa kingerezaMULUGO amerudi tena ni Mbunge ndani ya Bunge hili la NDUGAI!
Jimbo lake lile lile kule mkoa wa Songwe!!Kweli jimbo gani? Alipamba magazeti sana kipindi kile kwa kushindwa kutamka mwaka kwa kingereza
Ndio Baba mkubwa nini sio kwa prom hiiDu apewe Uwaziri Tu maana hakuna namna. Ukimlinganisha na Kibajaji yeye ana nafuu😜😜😜
Alichanganya vitu viwili mwaka na Zanzibar ni muungano wa Zimbabwe na Tanganyika nadhani...Kweli jimbo gani? Alipamba magazeti sana kipindi kile kwa kushindwa kutamka mwaka kwa kingereza
Unachanganya mada sasa sema mi nshakuelewa unamlenga NaniRais Samia lazima aoneshe seriousness kwa kumuondoa huyu Naibu waziri; hiyo wizara aliyopo ni nyeti sana inahitaji mtu serious!
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Ni wale walioitwa bungeni ili kupitisha miaka saba ya nyongeza.MULUGO amerudi tena ni Mbunge ndani ya Bunge hili la NDUGAI!
kipo ardhini mkuu, kimejichimbia huko au ushasahau!?Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Nimeongea Kwa kebehi yaani huyo ndugu Mheshimiwa alivyo nweupe leo karudi Bungeni? Kweli Bunge la wademkaji.Ndio Baba mkubwa nini sio kwa prom hii