Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
historia ya huyo mulugo/MULUNGU jina halisi nnayo kama yote aki nkikumbukaga nacheka sana
 
Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Huyu jamaa alikuwa bogus mtupu, yaani Tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Zimbabwe, afu hapo ni naibu waziri wa elimu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ni wale walioitwa bungeni ili kupitisha miaka saba ya nyongeza.

Hivi mpango wa nyongeza ilikuwa miaka 7 tu au milele kabisa? Kama masikio yangu hayaniangushi bado nyimbo za milele nilikuwa ninazisikia pia sema ndiyo hivyo tena mwenye milele yake akaona isiwe shida.
 
Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nakumbuka alishindwa jua Tanganyika iliungana na nchi gani kuunda Jamhuri ya Muungano.

Naibu Waziri wa Elimu hajui Tanganyika imeungana na nchi gani ilikua ni ajabu na kweli surprisingly hakutolewa ofisini kwa kuonyesha hii incompetence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo akataja Zimbabwe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimetazama hii clip, mbavu sina wallah , sio kwa kimombo hiki khaaaaah
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Alafu kuna watu wanadhubutu kusema hata kama mzazi una pesa hakuna haja ya kumpeleka mtoto wako englsh medium[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mshua ivi kasema tz inapakana na nchi nane alafu kataja na indian ocean humo humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mulugooooooo katika ubora wake 😂😂😂😂
M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimetazama hii clip, mbavu sina wallah , sio kwa kimombo hiki khaaaaah
 
Mulugooooooo katika ubora wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km isingekua hiyo display hapo mbele inayoonesha anachokizungumza, wallah hao wasikilizaji wasingeambulia chochote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Anajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom