Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
historia ya huyo mulugo/MULUNGU jina halisi nnayo kama yote aki nkikumbukaga nacheka sanaKuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Mwana sayansi ya jamii.Kwa hiyo makonda ni miongoni mwa hao wanasayansi na maprofesa siyo...!?
Huyu jamaa alikuwa bogus mtupu, yaani Tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Zimbabwe, afu hapo ni naibu waziri wa elimu.Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
Kwa naibu waziri wa elimu alipaswa kufanya vizuri zaidi, alipaswa aondoke mapema kabisaMlimwandama sana yule jamaa hadi akajiondokea kwa maneno.
Na huyu tena mmeanza!
Amini usiamini maneno ya watu sumu
Ni wale walioitwa bungeni ili kupitisha miaka saba ya nyongeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna awamu ilimteua MTU anaitwa Mulugo kama Naibu Waziri wa Elimu alichoenda kufanya SA kwenye Mkutano kiliwaacha Hoi watu. Baadae alitumbuliwa sikumbuki kosa lake. Akishindwa kutaja hata mwaka Kwa kuthungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo akataja Zimbabwe?Mimi nakumbuka alishindwa jua Tanganyika iliungana na nchi gani kuunda Jamhuri ya Muungano.
Naibu Waziri wa Elimu hajui Tanganyika imeungana na nchi gani ilikua ni ajabu na kweli surprisingly hakutolewa ofisini kwa kuonyesha hii incompetence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Uzi WA Mulugo humu sijui kufukua makaburi ningefukua watu waienjoy English ya Naibu Waziri.
Wewe mwenyewe unaona ulichoandika kinaeleweka? Hicho ni kiswahili, je English???????????Makonda anatafauti na bush man, hamna alijualo kwenye karne hii..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimetazama hii clip, mbavu sina wallah , sio kwa kimombo hiki khaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu kuna watu wanadhubutu kusema hata kama mzazi una pesa hakuna haja ya kumpeleka mtoto wako englsh medium[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mshua ivi kasema tz inapakana na nchi nane alafu kataja na indian ocean humo humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimetazama hii clip, mbavu sina wallah , sio kwa kimombo hiki khaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km isingekua hiyo display hapo mbele inayoonesha anachokizungumza, wallah hao wasikilizaji wasingeambulia chochote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mulugooooooo katika ubora wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yea akataja Zimbabwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo akataja Zimbabwe?
Siku zinaenda kasi sana. Kumbe Mulugo yupo bungeniMULUGO amerudi tena ni Mbunge ndani ya Bunge hili la NDUGAI!
Na sasa hiyo miaka ya nyongeza iongezwe kule kuzimu alikokwsnda yule majinuniNi wale walioitwa bungeni ili kupitisha miaka saba ya nyongeza.
Jina lako linajielezea upeo wako ulipoishia!Wewe mwenyewe unaona ulichoandika kinaeleweka? Hicho ni kiswahili, je English???????????
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Anajua mwenyeweNimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo pale au kipo chakuandika?
Yupi?Rais Samia lazima aoneshe seriousness kwa kumuondoa huyu Naibu waziri; hiyo wizara aliyopo ni nyeti sana inahitaji mtu serious!