Kiingereza cha Rais Samia

lugha ya taifa ni kiswahili

uyo kamala mwenyewe akija bongo kiswahili hata cha kusoma ajui
Magu alikuwa anajiongelea kiswahili tu alipoenda Malawi ila akachekwa......wakati Rais wa China popote anaongea kichina tu,ila Tz mtu akiongea ingilishi ndiyo anaonekana yupo Smart sana hata kama anaongea ujinga
 
Dikteta maggufuli mbona alikuwa anauponda utawala wa Kikwete,na nyinyi wafuasi wake mkawa mnabinua makalio kufurahia

Naona wabongo wagumu kuelewa hata Kiswahili...
 
Dah mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tutaambia Nini watu sasa??


Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

 

 
🤣🤣🤣🤣 Mabeyo na Sirro wameshaona kosa walilofanya Hawaendi kwenye mikutano yake siku hizi, but Mkuu wa mkoa wa Dar lazima ampokee
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana hajali kabisa aibu ndogo ndogo...
 
Well stated Nyumis👌👌
 
You can say it again and again 👌👌
 
Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha
Lugha aliiweza Nyerere tu bhana....Mkapa pronunciation nilikuwa nauficha USO wangu nikimsikiliza.

Kuna siku alikuwa yeye , Thabo na Abasanjo nimesahau tukio....ajin'gatan'gata hatari.

Mwalimu aliiweza lugha..na ni rahisi tu...aliiweza maana alikuwa anasoma saana na kufanya research saana kabla ya kuwa Rais na baada.

Hawa viongozi wengine wengi wanasiasa wa vyeo tu.
 
Ila maneno mengine hata hao wazungu wenyewe huwashinda kujua jinsi ya kuyatamka.
 
Watatuaibisha zaidi....unakumbuka mkalimali wa mazishi ya Magufuli alivyoshindwa kutafsiri alichosema Rais wa Botswana?
Wapo vijana wamesoma nje ya Nchi na ndani kwenye shule za michepua ya English wako very fluent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…