Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ni moja ya mbinu ya kutawala muda mrefu! Hapo watu wanapumua kuwa kuna mabadiliko! Hili wapinzani pia wamelilea sana.
Naona ni unafiki tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni moja ya mbinu ya kutawala muda mrefu! Hapo watu wanapumua kuwa kuna mabadiliko! Hili wapinzani pia wamelilea sana.
Magu alikuwa anajiongelea kiswahili tu alipoenda Malawi ila akachekwa......wakati Rais wa China popote anaongea kichina tu,ila Tz mtu akiongea ingilishi ndiyo anaonekana yupo Smart sana hata kama anaongea ujingalugha ya taifa ni kiswahili
uyo kamala mwenyewe akija bongo kiswahili hata cha kusoma ajui
Dikteta maggufuli mbona alikuwa anauponda utawala wa Kikwete,na nyinyi wafuasi wake mkawa mnabinua makalio kufurahia
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Dah mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tutaambia Nini watu sasa??
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Ila watanzania nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
@
Hapo Sasa mbona hatushangai wakija hawajui kiswahililugha ya taifa ni kiswahili
uyo kamala mwenyewe akija bongo kiswahili hata cha kusoma ajui
🤣🤣🤣🤣 Mabeyo na Sirro wameshaona kosa walilofanya Hawaendi kwenye mikutano yake siku hizi, but Mkuu wa mkoa wa Dar lazima ampokeeSasa subiri Hangaya arudi toka huko Marekani.
Wataenda wote [akina Sirro, Mabeyo, Mpango, Mwigulu, Kinana, Umi, Nape, Gwajima, na wengineo] kumpokea uwanja wa ndege.
Watamwimbia nyimbo, watamchezea ngoma, na usishangae ukimwona Mwigulu kajifunga kibwebwe huku akikatika na kuimba ‘mama kaupiga mwingi Marekani’.
Yaani ujinga ujinga tu.
We unayejua ku jaji uko wapi yako tu yanakushinda hebu acheni hizoRais kilaza,uwezo wake wa kujaji mambo ni mdogo sana anapelekwa tu
I like that 😁😁🤣🤣🙌Bora yeye anajua kiingereza kidogo , Kamala Harris hajui kiswahili kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana hajali kabisa aibu ndogo ndogo...Sina Nia ya kubeza Imani ya mtu...zamani nikiwa mdogo nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa anasoma kitabu flani cha dini yake kilichondikwa kwa lugha ya kigeni sasa siku moja nikaokota kipande cha gazeti ambalo limeandikwa kwa lugha hiyo nikamuomba aniambie gazeti Hilo limeandika kuhusu nini? Rafiki huyo akaniambia maandishi ya misahafu siyo sawa na maandishi ya gazeti japo ni lugha ile ile! Nilikuja kugundua kuwa huwa wanakaririshwa tu hata maana yake hawajuhi....kama mama alipitia masomo kama hayo hawezi kuhoji anachiandikiwa nini maana kukariri ndiyo asili yake!
Well stated Nyumis👌👌Ni vigumu sana kuwa fluent kwenye lugha ambayo huitumii kwenye mawasiliano yako ya kila siku, inakuwa ngumu sana kujenga misamiati ya kutosha ikiwa hiyo lugha huitumii...........na bila misamiati au maneno ya kutosha utaanza kutafutatafuta maneno sahihi na mwishowe unaishia kupata kigugumizi na kupoteza confidence......
You can say it again and again 👌👌Naomba nitoe ushauri na kuwatoa ushamba ndugu ZANGU kiingereza kwetu ni lugha ya kujifunza sio lugha MAMA na sio kwetu tu Hata KWA mataifa MENGINE makubwa kama china na urusi!!KWA huo hatuwezi kuiongea KWA lafudhi kamili ya wazungu au wamarekani!!kuongea kama wao sio kielelezo Cha u competence KWENYE lugha na utendaji tuachane na huo ushamba mbona hamuwakosoi wachina wanavoongea au warusi mmekomalia waswahili PEKEE!!?Mama ameeleweka na wamarekani wamemwelewa Sana!!! Ni nyie tu mmekosa mantiki!!
Lugha aliiweza Nyerere tu bhana....Mkapa pronunciation nilikuwa nauficha USO wangu nikimsikiliza.Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha
Watatuaibisha zaidi....unakumbuka mkalimali wa mazishi ya Magufuli alivyoshindwa kutafsiri alichosema Rais wa Botswana?Ni kweli aisee ,lugha ni tatizo.Hivi kwa nini wasiwe wanatembea na wakalimani?
Wa Botswana au wa South Africa?Watatuaibisha zaidi....unakumbuka mkalimali wa mazishi ya Magufuli alivyoshindwa kutafsiri alichosema Rais wa Botswana?
Ila maneno mengine hata hao wazungu wenyewe huwashinda kujua jinsi ya kuyatamka.Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Tz ukiwa na stress umejitakia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
Pep
utajuaje ameongea vizuri wakati kiingereza hujui?Siyo kweli mbona wote tumemsikia akiongea vizuri tu!! Au mnataka atamke kama Kamala Harris? Haiwezekani hiyo, kila mmoja ana ulimi wake na koo lake.
Akiyanani 😂😂😂😂😂😂utajuaje ameongea vizuri wakati kiingereza hujui?
Wapo vijana wamesoma nje ya Nchi na ndani kwenye shule za michepua ya English wako very fluentWatatuaibisha zaidi....unakumbuka mkalimali wa mazishi ya Magufuli alivyoshindwa kutafsiri alichosema Rais wa Botswana?