Kiingereza cha Rais Samia

Syo lazima ujue kingerereza cha moja kwa moja,kikubwa ni kuelewana tu

Ova
Kama kama taifa tuliamua kuwa Kiingereza kiwe moja ya lugha yetu ya taifa, basi kukijua ni lazima.

La sivyo tuache kusema kuwa ni moja ya lugha yetu ya taifa.
 
Rais ana shida sana yakutikuwa mfatiliaji wa mambo muhimu !
Rais pia ana shida ya wasaidizi maana wanamuandikia vitu vya kumuabisha kabisa!

Yani kila akiongea au kusoma vitu lazima atakwenda chaka....sijui shida ni nini?
Shida ni yeye mwenyewe.

Anapaswa awe makini. Awe mtaka kujua mambo.

Ingekuwa vigumu sana kumwingiza chaka Nyerere au Mkapa kuhusu wagombea umakamu wa urais wa Marekani….
 

In general, she is doing great considering the fact that English isn’t her native language. She has a considerable command of the queen’s language.

I however despise this nonsensical idea of African leaders reporting to the west, it makes us too inferior. We have a huge leadership deficit indeed. A lot of our development challenges are basically our faults, and our continued begging for development aid makes us loose the entire meaning of independence.

Indeed our continent will remain in shackles for quiet some time still.
 
Madam president is quite ok, she just needs a little fine tuning of getting her facts correct.
 
Hahahahaaaa, yaani haya mambo yanafikirisha sana.
Kiingereza jamani, mmmhh!
"thank you madam vice president for having me here"
 
Naomba nitoe ushauri na kuwatoa ushamba ndugu ZANGU kiingereza kwetu ni lugha ya kujifunza sio lugha MAMA na sio kwetu tu Hata KWA mataifa MENGINE makubwa kama china na urusi!!KWA huo hatuwezi kuiongea KWA lafudhi kamili ya wazungu au wamarekani!!kuongea kama wao sio kielelezo Cha u competence KWENYE lugha na utendaji tuachane na huo ushamba mbona hamuwakosoi wachina wanavoongea au warusi mmekomalia waswahili PEKEE!!?Mama ameeleweka na wamarekani wamemwelewa Sana!!! Ni nyie tu mmekosa mantiki!!
 

Hata mwendazake alisama," Kuna maraisi walisafiri zaidi nje ya nchi kuliko kwenda kwa mama zao"kumbe jiwe akiwaponda viongozi walio mtangulia sawa tuu?
 
Hii ya kusikia neno na kuchukua kama lilivyo ni udhaifu wa wanawake wengi kutokana na kupenda umbea

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
😂😂mwenzako hajakaa Marekani kama wewe mkuu,mtu wa Huku Kizimkazi katembea sana ni hapa Dar na Dodoma unataka kumuweka daraja sawa na mtu wa Cleveland,Salt lake,Idaho,wichita,New york na Atlanta?? Tumvumilie tu mkuu yatakwisha

Kikwete anamuharibu!!!
 
TENA WAONGEE FACTS,BILA KUSOMA MAHALI....
Ndomana kuna nchi Zingine ukienda na ngeli yako,wao hawana habari wanakujibu kwa lugha yao tu

We kingereza kijue basic tu inakutosha,kikubwa msikilizane,muelewane maneno 2,3 tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…