Kiingereza cha Rais Samia

Tupandishie sauti basi humu ukitema ngeli mzee

Ova
Nikiweka hapa mnaweza kudai nimeweka sauti ya mtu mwingine.

Kama unataka kulonga nami kwa Kizungu njoo WhatsApp. Voice call au Video call.
 
Ila watanzania nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!"


@
 
Na Chato alipotoka Magufuli mbona na yeye lugha ilikuwa .tihani?
 
Nikiweka hapa mnaweza kudai nimeweka sauti ya mtu mwingine.

Kama unataka kulonga nami kwa Kizungu njoo WhatsApp. Voice call au Video call.
Hahaha Acha kuwa kama mwanasiasa we weka hapa

Na mm ntakuongelea ligha zote nlizoziainisha hapo

Ova
 
Hehe ndomana nmemuliza lugha anazozijua

Hehe ndomana nmemuliza lugha anazozijua

Ova
Kuna kitu unachanganya.
Kutokujua lugha fulani na mtu kuzungumza lugha asiyoifahamu vizuri, hasa katika mazingira rasmi.

Kwa mfano umejiifunza kichina, ila hujui bado kutumia misamiati ya hiyo lugha kwa ufasaha!
Lugha yoyote inahitaji uzoefu katika kuitumia. Hata kama unajua misamiati yote ya lugha fulani; kama huzungumzi mara kwa mara ni rahisi kukosea!
Practice makes perfect!
 
Akisoma anakuwa fluent kidogo, kuwa mtu wa pwani kunamfanya aweze kusoma vizuri.

Yale ya kutoa kichwani ni mweupe pe! Kama mimi tu[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
My country people[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
 
Umewahi kumsikiliza bi riziki shahar mkewe kaka Mohamed Said? Kwakweli huyu nyani ngabu anaweza kukimbia
 
Kwani rais wa China anajua kingereza

Hapo hamkawi kusema wenzetu uchumi wao mkubwaa

Ova
 
Nyerere Na Mkapa walikua super sana kwenye iyo lugha ,kujiamini na kutema madini tu bila kuandikiwa kwa kutumia iyo lugha
Ki speech Kama hicho alipaswa akimeze Kisha ateme toka kichwani..
Shida Ni kwamba Hana msamiati wa kutosha wa lugha hiyo...
So far so gud
 
Itakua 'aloshinda' kasahau
Sidhani, maana alianza kusifu chama Cha democratic na kusema Tz tulifuatilia kwa karibu uchaguzi wa 2020 na Harris Ni mwanake wa kwanza kugombea nafasi ya umakamu wa uraisi na imetuinspire.

Unajua shida ni hao sasa wakiona anakosea kama hivyo wanamchukuliaje? Tatizo lipo hapo
 
Acheni basi mbina mama kaongea kingelez kizuri

Aya kile cha harmonize kime kaaje hakuna perfect kwenye english bhna tafuteni reason mtu yupo anapambania kombe ili wawekezaji waje mpate ajira bado mnaona hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…