Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Halafu hivi ni mimi tu [maana nisije kuwa na nitpick] au mbele/ pembeni ya Kamala, Hangaya kaonekana kama hana gravitas?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hivi ni mimi tu [maana nisije kuwa na nitpick] au mbele/ pembeni ya Kamala, Hangaya kaonekana kama hana gravitas?
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Kuhusu facts ndogo ndogo nimewahi kuuliza wanao muandalia speech wanakuwaga na lengo Gani na yeye kwa nini huwa hazikagui,
Hofu yangu huyu bibi ni mvivu Fulani ni mtu wa kulishwa Kila kitu...
Nilishangaa na Mimi kusikia Kamala ndio mgombea wa kwanza mwanamke...
Kingine Samia siyo mtu wa kusikiliza na kutoa arguments, Bali wa Ndiyo ndiyo Kila unapomwabia kitu, nilisikia hii wakati Kamala anazungumza
Hapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
Ndio alivyo,tuombe Mungu watu wanaomzumguka wawe smart vinginevyo ni hatariKuhusu facts ndogo ndogo nimewahi kuuliza wanao muandalia speech wanakuwaga na lengo Gani na yeye kwa nini huwa hazikagui,
Hofu yangu huyu bibi ni mvivu Fulani ni mtu wa kulishwa Kila kitu...
Nilishangaa na Mimi kusikia Kamala ndio mgombea wa kwanza mwanamke...
Kingine Samia siyo mtu wa kusikiliza na kutoa arguments, Bali wa Ndiyo ndiyo Kila unapomwabia kitu, nilisikia hii wakati Kamala anazungumza
Marekani ishakuwa na wagombea wawili wanawake wa katika nafasi ya umakamu wa Rais kutoka vyama vyao viwili vikubwa kabla ya Kamala.Kuhusu facts ndogo ndogo nimewahi kuuliza wanao muandalia speech wanakuwaga na lengo Gani na yeye kwa nini huwa hazikagui,
Hofu yangu huyu bibi ni mvivu Fulani ni mtu wa kulishwa Kila kitu...
Nilishangaa na Mimi kusikia Kamala ndio mgombea wa kwanza mwanamke...
Kingine Samia siyo mtu wa kusikiliza na kutoa arguments, Bali wa Ndiyo ndiyo Kila unapomwabia kitu, nilisikia hii wakati Kamala anazungumza
Na bodaboda anaendesha?View attachment 2188812
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Membe? You can’t be serious…Ngoja Membe au January akiwa President mtaona Ngeli inavyotemwa
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Kuijua lugha si lazima uishi huko, miaka ya sitini wanafunzi walikuwa wanakijua vizuri kiingereza ndiyo sababu iliwawezesha kupata krediti kwenye mitihani ya Kembriji, fahamu walikuwa wa shule za serikali.😂😂mwenzako hajakaa Marekani kama wewe mkuu,mtu wa Huku Kizimkazi katembea sana ni hapa Dar na Dodoma unataka kumuweka daraja sawa na mtu wa Cleveland,Salt lake,Idaho,wichita,New york na Atlanta?? Tumvumilie tu mkuu yatakwisha
Gazeti la New York times nimeona kuna kipande wamemtaja kwamba ms Samia who is "soft spoken" sa sijui wamependa uongeaji wake huo au wamemind?Hapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
“Conversate” is nonstandard English.Kwa aina ya wananchi wetu mama anajua sana na anajitahidi. Kumbuka lugha huwa ina kuwa affected na mothertongue.
Mimi nimefurahi raisi wangu anapoongea kwenye platform kama hiyo, kuachilia mbali wanawake wengi wanauoga kuongea mbele za watu haswa wa kiislamu. Anatamka maneno tunayaelewa makosa madogomadogo ni kawaida. Huwezi kumlinganisha Raisi wa ghana na George weah kwenye pronounciation, choice of words and mannerism when they conversate.