Kiingereza cha Rais Samia

Kiingereza cha Rais Samia

Marais wa Tanzania waliotuwakilisha vizuri kwenye hii lugha walikuwa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa tu, hawa wengine hakuna kitu
Nyerere na Mkapa walikuwa vizuri kwa sababu walisomea hiyo lugha ya kiingereza na walikuwa na shahada ya hiyo lugha.
 
Sukuma gang tupumzisheni walau kidogo jamani!!!
Angalia huyotu.wa kushoto ndio utajua kwanini hawezi kutulia kimya.

WASWAHILI wanasema DEBE TUPU

IMG_20220310_194425.jpg
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Huyu sijui katokea wapi Rais kapitia Uingereza kwenye miaka ya shule sijui alikuwa mbovu mbovu kupita kiasi kila kitu lazima aandaliwe na kuongea mbovu, kama darasa la 4 la kayumba
 
Tushakuzoea kumkosea kila anachofanya ila ndo Rais hadi 2030 utake usitake
Huyu shoga wa USA baby hdfatq Kamala hamkubali.

Siyo mtu anaweza kumkubali, Ni aina ya mijitu mishamba ambayo imeamua kubinuliwa huko nchi za kibepari
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Raisi wa ufaransa haongei kabisa kingereza acha kasumba wewe. Ndo nyie NZI wa chooni Mnamwita wa kizungu japo anaambukiza kipindupindu KISA mkubwa!!!!
 
Dawa ni kutembea na mkalimani kama Rais wa China. Tatizo sisi wabongo wengi tunajifanya tunajua kiingereza wakati hatujui.
Kuna mzungu mmoja baba yake ni muwekezaji wa siku nyingi kwenye industry ya tourism mtoto wake alikuwa anakuja na kuondoka hakai zaidi ya wiki mbili kiswahili cha kimtindo anaongea, lakini baada ya baba yake kumpa ukurugenzi kwenye moja ya kampuni aliniomba nimtafutie mwalimu wa kiswahili huwa anakwenda kumfundisha nyumbani.

Hii maana yake sasa yupo serious anstaka akijuwe kiswahili kwa ufasaha badala ya salamu ya jambo sasa hivi wakubwa anawaamkia shikamoo kabisa na vijana mambo vipi, hakuna tena salamu ya Jambo.
 
Kupaza sauti? Sauti ipi?
Mbowe aandae watu wake waandamane kudai katiba mpya... Uone huo uhuru ni upi..
Tatizo mkaambiwa mpaze sauti kwenye mambo ya msingi mnaanza kuwawazia kina Mbowe... KondeBoy akipata views mnapaza sauti hadi mnapaliwa na mitandao inazidiwa...
Sijui tatizo ni nini tu...
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Siyo kwamba SSH anamudu sana Kiingereza bali watu wanamlinganisha na JPM! JPM naye siyo kwamba alikuwa haijui; nadhani alikuwa anakijua kiasi cha kutosha lakini alijiaminisha hakijui na aliiogopa sana. Kutokana na hofu nyingi kila akijaribu kuongea hukosea sana. Nadhani hata sababu kubwa ya kutosafiri nje ilikuwa lugha. Pale alipolazamika kusafiri tulishuhudia alivyojilazimisha kuongea na kuteseka: Zimbabwe, Malawi.
 
Katika viongozi wote tuliyonao na tuliyowahi kuwa nao inaonekana ni hao wawili tu ndio waliweza kuongea vizuri kiingereza na ndio maana wanatajwa wao tu.
Ndio matunda ya mkoloni hao wote. By the way ushawahi kusikia yai la Bwana Harusi aka Naibu Waziri Mkuu? Very soft yai.
 
Hili ni kweli kwa sababu wanaongea kuwafurahisha hao Mataifa makubwa..

Wajitahidi kujiamini,ni afadhari mtofautoane mnayotofautiana na kukubaliana mnayokubaliana.
Hivi wakitumia lugha watapungukiwa na nini? Au itifaki haiwaruhusu mkuu?
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Wakati wa Magufuli mama Samia ndio alikuwa tegemeo letu kwenye ziara za nje kwasababu Magufuli alikuwa hajui Kiingereza.
 
Maxence Melo mkuu hizi akaunti zinatakiwa ziwe na status ya new member muda wote tu. Verified member na Yuko na status ya Platinum member akiposti ujinga kama huu anafanya jf iwe kama FB ya kina Nasra Juma.

Mbona whites wakikosea kuongea kiswahili mnawasifia.

Ukosoaji uliofanya usingehusisha suala la kuongea kiingereza, status ya platinum member inakufaa not otherwise.
Chawa tulia
 
Wakati wa Magufuli mama Samia ndio alikuwa tegemeo letu kwenye ziara za nje kwasababu Magufuli alikuwa hajui Kiingereza.
Ila hata Samia nae kinampiga chenga, Ila sio sawa na jiwe.
Jana wakati anajibu swali niliona aibu kidogo.
.....the aam great deal of hospitality we have and we are very friendly, when you happen to be in Tanzania by mistake you never regret it.....

English bado ni tatizo
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Subiri povu la whitewash
 
Back
Top Bottom