Kiingereza cha Rais Samia

Kiingereza cha Rais Samia

Hapana.

Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.

Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.

Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.

Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.

Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
[emoji23]
 
Honestly speaking japo mimi ni mpinzani damu damu ila nimeskiza madam akiongea na kubaini kiwa kweli kulikuwa na mokosa ila she is fluent in English hata ile ya kusoma kuna watu kama jiwe wangetoa boko sana. Rais hapa hajatuangusha kwakweli ameonge poa sana nimependa ile English fluence yake. Anajua kwa kiasi chake.
 
Wa Tz tumezidi kwa UCHAWA... Mama mbona kwenye Royal Tour kaongea vizuri.. cha msingi ni Communication between 2 sides... sasa wewe umefanya Linguistic unataka woote tufwate sheria ya Lugha ya Malikia... Mama akija uongee nae maswala ya Community Development & Economics.. unaweza na wewe kutoka Nduki.. kila mtu ni mbobezi kwenye Field Area yake... ila nimependa kwenye Uzinduzi wa Royal Tour Mama alikua very Confident na Ku respond Qns from the Audience.. wengine tujikumbushe kipindi hiki walikua Wamejificha vijijini wakila supu ya vichwa vya Mbuzi na kutudanganya Mabeberu ni wabaya sana.
 
Kama umeishi nchi nje ya Tanzania ndio utajua kuwa kujua kingereza hakuna maana yoyote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mtu alikwenda hapo Uganda ambayo ni Bukoba tu hapo (wana Accent ya Kibukoba!!) kipindi cha ufunguzi wa Bomba la Mafuta ... akashindwa kujua Waandishi wa habari wana maanisha nini.. mpaka Museveni ikabidi awe middle Intepreter.. shame on You Sukuma Gang.. tumpe mama Confidence I hope Atakua much better siku zinavyozidi kwenda...
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Mwambieni Biden naye aongee Kiswahili, au Putin aongee Kiingereza. Pale Kenya nadhani unajua Kiswahili chao, hatupangwingwi kuongea Kiingereza bana.
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Yeah, kama ulivyosema kuna shida,ila JPM was worse.Anyway ni tatizo la Watanzania wengi,na kwa sababu hiyo watu wengi wamejaribu ku-downplay umuhimu wa Kingereza,which is wrong.Kingereza kama an international language ni muhimu kwa kuwa we do not live in isolation.
 
Kwangu lugha maridhawa si tatizo sana kwa sababu Umombo si lugha yetu mama, nakwazika sana Rais yoyote akiwemo Samia kuanza kukandia viongozi waliopita wakati ni viongozi waliotokana na chama kilekile kiitwacho chama tawala...

Sijui hawaelewi kuwa unapomponda Rais aliyepita ni sawa kabisa na kukiponda chama chao wenyewe na sera ama ilani zake...
Kwa hayo juu, naweza tupa lawama kwenye Wizara ya Mambo ya nje!

Mara nyingi inapotokea umeme ukikatika, au pale barabara hazijaunganika na zingine n.k huwa tunaponda na kudodosoa wizara husika, sembuse Wizara inayohusika na 'relation' pamoja na sera au itifaki za mambo ya nje?

Hayo mahusiano na miongozo ya itifaki baina ya Nchi hizi mbili yanaonekana yamefanyiwa 'reset'.

Sasa sijui kama Wizara husika ndie iliyetoa mwongozo huo, au ni yale yalioyopanda akilini kwa Hangaya.

...
Nitubu tu sijasikiliza hotuba yake, walakin kwa haya ya Watu 8 na NN nimepata picha ya yaliyojiri.

Natamani nione pale anaposema 'sasa tunafanya siasa za kistaarabu na za kiungwana' kwa kiingereza.

Anauziwa kanyaboya.
 
Kuijua lugha si lazima uishi huko, miaka ya sitini wanafunzi walikuwa wanakijua vizuri kiingereza ndiyo sababu iliwawezesha kupata krediti kwenye mitihani ya Kembriji, fahamu walikuwa wa shule za serikali.
Aliyeharibu haya ni Nyerere na itikadi zake za kijamaa
Rejea mabadiliko ya elimu mwaka 1968 ya kufundisha Kiswahili ngazi ya elimu ya awali.
 
Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa!

Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia.
umenikumbusha maandishi ya ben saanane yaliyokuwa yanakosoa Phd uchwara ya magufuli.

akashia kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha na mpaka sasa haijulikani yupo hai au aliuwawa.
 
Mè ninachojua kila mwana jf anajua English fasaha but mswahili ni mswahili tu English sio ligha yake mama
 
lugha ya taifa ni kiswahili

uyo kamala mwenyewe akija bongo kiswahili hata cha kusoma ajui
Ni sawa asijue Kiswahili kwani toka vidudu hadi chuo kikuu wao wanatumia Kiingereza. Sisi pia elimu yetu kwa kiasi kikubwa ni Kiingereza hivo ni ajabu kushindwa kuiongea kwa ufasaha something must be wrong somewhere.
 
Hivi unajua hata kiengereza ulichoongea kwa sentensi 2 teyari kina makos???
 
Hapana.

Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.

Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.

Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.

Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.

Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
Shida yote ya nini wakalimani si wapo aomgee tu kiswahili ila kwa kweli anajitahidi labda to confidence ndio inampa taabu
 
Back
Top Bottom