Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tanzania ni kubwa kuliko hicho kiingereza chenu cha kiberaKitamu sana kingereza, hauwezi kujua raha yake kama haukijui...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni kubwa kuliko hicho kiingereza chenu cha kiberaKitamu sana kingereza, hauwezi kujua raha yake kama haukijui...
Tanzania ni kubwa kuliko hicho kiingereza chenu cha kibera
Pia leta faida za nyie kuongea kiingerezaHa ha ha Ndio muache aibu kwenye hafla za kitaifa, kuweni na fahari kwenye lugha zenu mnazozimudu, kingereza kilishawagomea, kuna video subiri naitafuta kipindi fulani waziri wenu wa elimu Ndalichako alikua anahangaika kuongea Kingereza ze ze ze
![]()
Unajichekesha mwenyewe na ujuha wenu wa kiingereza. Hilo bango liliandikwa week. Utani wa jadi watu wa yanga wameli edit. Mnavyoabudu English mnahisi watu wote hao hawajui week na weak.Huwa mnachesha sana lakini
![]()
Kwa hiyo nyie wafuasi na watumwa wa ubeberu mnasemaje? Kwamba mkifumba pua za kijaluo kama waingereza ndio mlo unaenda kinywani? You are nothing but common slaves!Hawa wanatia aibu na huruma. Makosa ni kwamba Nyerere alipowaambia wajifunze kiswahili waliichukulia kwamba anawaambia eti wakisahau kiingereza kabisa.
Nyie mnakula na chakula kinaenda chooni. Ama unafikiri chakula kinabaki tumboni?Kwa hiyo nyie wafuasi na watumwa wa ubeberu mnasemaje? Kwamba mkifumba pua za kijaluo kama waingereza ndio mlo unaenda kinywani? You are nothing but common slaves!
Ha ha ha wapiiii nyie ni wale wale bana, eti liliandikwa week.Unajichekesha mwenyewe na ujuha wenu wa kiingereza. Hilo bango liliandikwa week. Utani wa jadi watu wa yanga wameli edit. Mnavyoabudu English mnahisi watu wote hao hawajui week na weak.
Baki hapo
Kwa hiyo nyie wafuasi na watumwa wa ubeberu mnasemaje? Kwamba mkifumba pua za kijaluo kama waingereza ndio mlo unaenda kinywani? You are nothing but common slaves!
Kama ni kile kingereza cha kutamka " wenesiday" bakini nacho tu wenyewe.Halafu la kushangaza, kingereza chenyewe mnakisomea shuleni na kutoka kapa ha ha ha....
Sawa ila wewe sio msemaji wa hao wenye lugha, tukikosea kijaluo ndio ukasirikeKila nikiangalia hili bango nacheka sana, andikeni Kisukuma lugha ya watu imewapa chenga....ha ha ha
![]()
Sawa ila wewe sio msemaji wa hao wenye lugha, tukikosea kijaluo ndio ukasirike
Unashangaa vip kwa lugha siyo yako! wazungu wakishangaa na kutulalamikia Sawa maana lugha yao, wewe mjaluo pita kimya kimya siku tukikosea kuandika kijaluo chako ndio uje kushangaaMimi yangu nawashangaa mbona mng'ang'anie kuitumia wakati imewashinda, ingekua mnawalenga wazungu na hayo mabango ningewaelewa, ila mlengwa ni nyie hapo wa Buza, sasa mbona msiandike kwa lugha mnayomudu.
Unashangaa vip kwa lugha siyo yako! wazungu wakishangaa na kutulalamikia Sawa maana lugha yao, wewe mjaluo pita kimya kimya siku tukikosea kuandika kijaluo chako ndio uje kushangaa
Sawa Haya maneno akisema mzungu wala hakuna shida maana ni lugha yao, sio wewe mjaluoNashangaa nyie msioijua lugha kung'ang'ania kuitumia kwa wasioijua lugha, nyote mnakua kama majuha vile...
Unaonekana una pata taabu sana na waliotangulia mbele za haki,bahati mbaya sana hizo chuki zinakutafuna mwenyewe ndani kwa ndani bila kujijua.Unahitaji to let it go uendelee na maisha yako in peace.Kama namkumbuka yule hayati wa Chato na likiingereza lake libovu
Unajichekesha mwenyewe na ujuha wenu wa kiingereza. Hilo bango liliandikwa week. Utani wa jadi watu wa yanga wameli edit. Mnavyoabudu English mnahisi watu wote hao hawajui week na weak.
Baki hapo
Pure slavery!!Halafu la kushangaza, kingereza chenyewe mnakisomea shuleni na kutoka kapa ha ha ha....