Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

Tanzania ni kubwa kuliko hicho kiingereza chenu cha kibera

Ha ha ha Ndio muache aibu kwenye hafla za kitaifa, kuweni na fahari kwenye lugha zenu mnazozimudu, kingereza kilishawagomea, kuna video subiri naitafuta kipindi fulani waziri wenu wa elimu Ndalichako alikua anahangaika kuongea Kingereza ze ze ze

img-20220523-wa0228-jpg.2236393
 
Pia leta faida za nyie kuongea kiingereza
 
Kina utamu wake, kwa wewe usiyekijua hauwezi kuelewa....
Pia hapo Bongo kujua kingereza ni ajira kabisa, hata Watanzania wanaosomea Kenya wakirudi Bongo hupiga mwingi

ajira.jpg
 
Huwa mnachesha sana lakini

screenshot_20220801-211019-png.2311408
Unajichekesha mwenyewe na ujuha wenu wa kiingereza. Hilo bango liliandikwa week. Utani wa jadi watu wa yanga wameli edit. Mnavyoabudu English mnahisi watu wote hao hawajui week na weak.
Baki hapo
 
Hawa wanatia aibu na huruma. Makosa ni kwamba Nyerere alipowaambia wajifunze kiswahili waliichukulia kwamba anawaambia eti wakisahau kiingereza kabisa.
Kwa hiyo nyie wafuasi na watumwa wa ubeberu mnasemaje? Kwamba mkifumba pua za kijaluo kama waingereza ndio mlo unaenda kinywani? You are nothing but common slaves!
 
Nyie mnakula na chakula kinaenda chooni. Ama unafikiri chakula kinabaki tumboni?
 
Unajichekesha mwenyewe na ujuha wenu wa kiingereza. Hilo bango liliandikwa week. Utani wa jadi watu wa yanga wameli edit. Mnavyoabudu English mnahisi watu wote hao hawajui week na weak.
Baki hapo
Ha ha ha wapiiii nyie ni wale wale bana, eti liliandikwa week.
 
Kwa hiyo nyie wafuasi na watumwa wa ubeberu mnasemaje? Kwamba mkifumba pua za kijaluo kama waingereza ndio mlo unaenda kinywani? You are nothing but common slaves!

Halafu la kushangaza, kingereza chenyewe mnakisomea shuleni na kutoka kapa ha ha ha....
 
Kama ni kile kingereza cha kutamka " wenesiday" bakini nacho tu wenyewe.
 
Kila nikiangalia hili bango nacheka sana, andikeni Kisukuma lugha ya watu imewapa chenga....ha ha ha

screenshot_20220801-211019-png.2311408
Sawa ila wewe sio msemaji wa hao wenye lugha, tukikosea kijaluo ndio ukasirike
 
Mimi yangu nawashangaa mbona mng'ang'anie kuitumia wakati imewashinda, ingekua mnawalenga wazungu na hayo mabango ningewaelewa, ila mlengwa ni nyie hapo wa Buza, sasa mbona msiandike kwa lugha mnayomudu.
 
Unashangaa vip kwa lugha siyo yako! wazungu wakishangaa na kutulalamikia Sawa maana lugha yao, wewe mjaluo pita kimya kimya siku tukikosea kuandika kijaluo chako ndio uje kushangaa
 
Nashangaa nyie msioijua lugha kung'ang'ania kuitumia kwa wasioijua lugha, nyote mnakua kama majuha vile...
 
Sawa Haya maneno akisema mzungu wala hakuna shida maana ni lugha yao, sio wewe mjaluo
 
Kama namkumbuka yule hayati wa Chato na likiingereza lake libovu
Unaonekana una pata taabu sana na waliotangulia mbele za haki,bahati mbaya sana hizo chuki zinakutafuna mwenyewe ndani kwa ndani bila kujijua.Unahitaji to let it go uendelee na maisha yako in peace.
 
Watanzania tukubalini tu ukweli utatuweka huru kimalikia kinatupiga Chenga hata maprof vyuoni kama PhD yake kaipatia bongo basi kimalikia tia maji tia, prof kaijage ndo alikua anakizungumza hasa kile cha malikia lakini maprof hasa wa COET tia maji tia maji
 
Back
Top Bottom