Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Huyu mzee namwambiaga kila siku aongee Kiswahili lakini anang'ang'ania likiingereza mpaka huruma!! Tena hapo angeongea Kiswahili angewachana mpaka raha!

Haya wenye maviingereza yao niwaache na Rais wenu mbishi!
 
we una angalia kingereza embu angalia alichoenda kukifanya kule malawi kina faida sana kwa taifa ndugu,.... swala la upanuzi wa bandari ya mtwara litaleta ajira kwa vijanaaa, miji kama ya nyasa itachangamka sanaa kibiashara,... ujenzi wa HEP project ni faida pia kwa taifa ..kingereza sio issue bro ata putin hajui english
 
Ndo maana huwa anaongea kirusi. Hivyo Rais wetu nae aongee kiswahili tu.
 
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Si awe anaongea kiswahili tu. Mimi sijui kiingereza ndo maana napiga kiswahili tu hapa.
 
Nilimpigia hesabu kuanzia anakalia dawati la form one mpaka PhD, kasoma miaka 17 kwa kutumia lugha ya Kiingereza ila bado ni chenga.
Ukimwita kilaza Lumumba utasikia mbona China kuna wasomi hawajui kiingereza!!
Swali ni hili: Lugha ya kufundishia China ni Kiingereza?
 
Hahaa.. Nimecheka hivi viinglish vyetu tuliosoma st kayumba halaf tukamalizia na michepuo ya sayansi huwa ni vibovu..

Japo chake kibovu zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…