Kiini cha Falsafa, dini za Uislamu na Ukristu ni Afrika

Kiini cha Falsafa, dini za Uislamu na Ukristu ni Afrika

Wamisri wa zamani wamechangia zaidi katika sayansi/ Falsafa kuliko dini kwahiyo ningependa niingie kwenye swala hili , lakini kabla ya kufanya hivyo ngoja nimjibu Nyamgluu.:

Nyamgluu alisema:
Maelezo yako hapo juu yana matundu kadhaa, kwa mfano tafsiri yako ya hio passage ya Heredotus sio sahihi.

Mzee anajibu:

Eleza jinsi hiyo tafsiri ya Herodutus isivyo sahii,kwa mtu yoyote inaonekana wazi.

Nyamgluu amesema:
Unajua kwa hio reasoning yako basi kila kitu duniani origin yake lazima ije kuwa Afrika sababu DNA and other evidence zinaonyesha kuwa early man originated from Afrika. Sasa with that argument ni kwamba KILA WATU NA TABIA ZAO DUNIANI zitakua na chimbuko Afrika na hivyo mtu mweusi.

Mzee 2000 anajibu:

DNA za binadamu wote zina chanzo Afrika, kwa maana hiyo binadamu wote wanaoishi nje ya Afrika DNA yao ni subset ya waafrika. Utaalamu wa DNA sasa umeendelea zaidi na unaweza kuashiria hata familia mtu anayotoka. DNA za miili ya wamisri ya kale ililinganishwa na database ya watu wote duniani na kuinyesha kuwa wamisri hao wa kale walikuwa waafrika kwa sababu DNA yao inafanana na waafrika waanaoishi kusini mwa jangwa la sahara muda huu(kama watanzania!). Lakini uthibitisho haupo tu kwenye DNA, upo kwenye lugha, utamaduni na structure ya miili yao pamoja na geografia.
 
Nakubaliana na leta hoja,
1:mungu hayupo
2:Siamini kama dini za kumwabudu mungu zipo

3:Kila mtu anawezafanya lolote (kuua,kuiba,kubaka,kutukana,nk) ilimradi tu usiiudhi jamii inayokuzunguka.
4:Shetan hayupo
5:Asili ya dini kama social interaction ni Afrika na si kama Kumwabudu mungu ambay hayup
6😀ini (for mass mind control) asili yake ni Asia na ulaya kwa ajili ya colonization only & not worshing God or Satan.
 
Back
Top Bottom