Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Vijana wa Allah waoga kama nini. Pole zangu natanguliza kwao.Hupati jibu toka kwa waislam milele,Sana Sana subiri picha za mashoga Kama kujibu hilo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Allah waoga kama nini. Pole zangu natanguliza kwao.Hupati jibu toka kwa waislam milele,Sana Sana subiri picha za mashoga Kama kujibu hilo...
Hupati jibu toka kwa waislam milele,Sana Sana subiri picha za mashoga Kama kujibu hilo...
Ukristo na usengee kama UISLAM na TENDE
Kusema kuwa Moses alilelewa Misri (Afrika) na kupata mila za ki Misri na hivyo basi ni za kiAfrika ina shangaza kidogo.
UAfrika wa Misri ni wa kijeographia au ki tamaduni? Wa Misri wako karibu zaidi na waArabu/Persians na tamaduni zao zooote ni za huko. Najua hapa sasa utakuja na madai kuwa unaongelea wa Misri wa Zamani ambao unadai walikua weusi na hivyo WaAfrika!
Unajua kila race ina physical features zake, sasa ukiangalia physical features za wale ma Pharaoh waliokua mummified hawana typical Bantu African features. Nafikiri ni 1 tu kama nakumbuka vizuri nae ni utata. Na wanao support hii view ya ancient egyptians walikua blacks wanatoa hoja ingine kua ile pua ya sphinx iliomeguka ilivunjwa makusudi sababu ilikua pana na kuonyesha kuwa alikua black african!
Seriously!! Hakuna race zingine zenye pua pana.
Au tuanze kwanza MWAFRICA tunaemwongelea hapa ni yupi?
Ngoja baadae nitakua kwenye laptop ili niweze kudadavua vizuri post zako kwa mifano na vigezo. Hapa natumia simu.
Topic hii ilifungwa, namshukuru moderator kwa kuifungua.
Nisingependa kuingia sana kwenye dini, ningetaka kuendelea na falsafa na sayansi lakini ngoja nijibu hoja moja iliyotelewa na mwanajamvi kwamba kiini cha ukristo uislam sio agano la kale.
Ishmael Kasema hivi:
"Msingi wa Ukristo upo katika Agano Jipya na sio la Kale. Zaidi ya hapo Ukristu sio dini bali ni ufuasi wa Mungu. Msingi Mkuu wa Ukristo ni Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.
Zaidi ya hapo, msingi wa Uislam haupo kwenye Agano la Kale. Kwenye Uislam hakuna 10 Commandments. Kwenye Uislam hakuna Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu."
Ishmael, Bila dini ya wayahudi kusingekuwa na ukristu wala uislamu. Ndio maana wasomi wanauita uislam na ukristu ‘Abrahmic religions' Yesu katika mahubiri yake aliongelea agano la kale mpaka kuna wakati alisema hakuja kupindua sheria bali kuikamilisha. Kwa waislamu ni hivyohivyo, Utamaduni wa waislamu unasema kwamba Kwa waislam Abraham ni mmoja wa manabii wanaomkubali.
Kwa hiyo bila uyahudi kusingekuwa na Uislamu au Ukristu. Waislamu na Wakristu walibadilisha/ kuongeza mafundisho wa wayahudi .
Nitaendelea kama hakuna maswali zaidi.
Let me teach you some history and background of Christianity:By Mzee2000![]()
Tuanze na Dini.
Msingi wa uislamu na ukristu na Judaism uko kwenye agano la kale, na agano la kale linasema kwamba Musa, ambaye aliwapa amri kumi za Mungu na kuwatoa wayahudi utumwani Misri aliishi Misri ( Afrika) tangia kuzaliwa mpaka miaka zaidi ya 40. Kama aya hii inavyosema hapa chini,
....... usengee kama UISLAM ......
Allah akiapia ktk qur an hamanishi anamshirika,ila anakusudia jambo linalokuja ni zito sana,pia anahitaji anaowambia wapate attantion!
PlanckScale,
Huu ni ufinyu tu wa fikra kama kigezo cha lugha kinakutoa nje utawezaje kudadavua hoja za kiundani?
Je hicho kinyamwezi chako kinajitosheleza kichwani kwako? Je,hicho kinyamwezi chako kinatosheleza kuelezea dhana za kiimani na kihistoria kutoka katika muktadha wa kiafrika, kiarabu, kigiriki, kiebrania, kimharaki, kilatin na kimisri?
Lugha ya mkopo haiwezi kukutosheleza aidha, hakuna lugha inayoshindwa kuelezea dhana" concept" za lugha nyingine. Na ndio maana utamaduni wa kiafrika au kihindi(mf.Kigujarati) unaweza elezwa kwa kiingereza japo waingereza hawana msamiati kwa kila neno na dhana ya kiafrika au kihindi.
Wewe ulipaswa useme hivi kwa kuwa suala ninaloenda kulijadili ni pana nitalazimika kuchanganya msimbo. Hili ni jambo la kawaida katika lugha, je hivi unajua kwamba % 40 ya maneno ya kiingereza yamekopwa na kutohorewa kutoka kifaransa? Je unajua kwamba maneno ya kisayansi takribani % 80 katika kiingereza yanatokana na kigiriki na kilatini? Ndivyo kwa kijapan, kichina, kirusi nk.
Hivyo basi, ukitumia lugha ya kiswahili kujadili mada yako huku ukitupia maneno ya kirejista na kiistilahi utakuwa unaikuza lugha ya kiswahili.
Wandugu.
Katika topic hii nitathibitisha kuwa, kiini cha hizi dini ambazo waafrika wengi hasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla tunazozifuata zina kiini Afrika. Kwa maana hii, namaanisha, waisraeli waligeza mawazo ya Mungu ya Afrika na kuyageuza kuwa mawazo yao na mwisho kuyageuza/ distortion mawazo yetu na kuturudishia sisi katika form ya ukristu/ uislamu.
Vilevile nitaongelea falsafa ya wagiriki na nitaonyesha kuwa kiini cha hii falsafa( kwa mfano aristotle, socrates) ni Afrika hasa ya weusi, hasa misri ya kale.
Nitakaribisha wasomi wote hasa wa falsafa kutoka seminari kwa mawazo yao.
Nitaendelea, Nakaribisha hoja.
...naapa kwa Aliyeumba cha kiume na cha kike.
Swali sio Allah kuapa, swala ni kuapa kwa ...
Dadavua kwa hilo la kuapa kwa...
Unashangaa ALLAH kuapa ?
Unajua maana ya ELIZABETH.
Elizabeth ni jina la kike lenye asili katika Biblia. Marejeo yake ni Mtakatifu Elizabeth aliyekuwa mama wa Yohane Mbatizaji. Umbo asilia katika lugha ya Kiebrania ni elisheva (אֱלִישֶֽׁבַע ) lenye maana ya "Mungu anaapa" au "Mungu
wa kiapo". Watu.
Naomba hoja ya msingi.
Mbona unarukaruka na kuizunguka hoja ?! Mungu kuapa haina tatizo, tatizo ni pale Allah mnayemuitikadi kwamba ni Muumba yeye anaapa kwa Aliyeumba cha kiume na cha kike.
Kiapo chake kinaonesha Allah anaye Mkuu kuliko yeye ndiyo sababu kamtaja huyo muumba cha kike na cha kiume kwa kuwa ndiye Mkuu kwake.
Mungu ninaye mwabudi Mimi anaapa kwa nafsi yake kwa kuwa hskuna Mkuu kuliko yeye !
Allah yeye vipi ?