Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....
Hizi amri kumi za Mungu za waisraeli:
1. You shall have no other gods before Me.
2. You shall not make idols.
3. You shall not take the name of the LORD your God in vain.
4. Remember the Sabbath day, to keep it holy.
5. Honor your father and your mother.
6. You shall not murder.
7. You shall not commit adultery.
8. You shall not steal.
9. You shall not bear false witness against your neighbor.
10. You shall not covet.
.................
Mzee2000,
God is still a delusion, whether it originates from Afrika or Middle-East or Europe.
Yes, I would have preferred a black god, but he/she does not exist, anyway. Nevertheless, this could be a nice disccussion on the history of Ibrahimic religions and their relation to Afrikan belief systems.
Samahani wandugu nimeingiza Kinyamwezi, hii topic kwangu ngumu kwa kutumia kinyumbani (yaani Kiswahili).
Historical facts according to who?Mkuu,
Hizo amri za wayahudi zilikua zaidi ya kumi!
Vile vile, hamna ushahidi wa kutosha kihistoria unaoonyesha kwamba Musa alikuwepo...
Hili swala linachunguzwa kwa kina sana na wanahistoria ya biblia na torati.
Mwambie huyo jamaa yako alete uthibitisho. Vain words sio hoja.Not a waste, kama huna hoja za kumpinga jamaa ni bora ukagonga like tu.
Hoja za jamaa zinaeleweka, there is no one being who is responsible for creation, is to be worshiped na vitu kama hivyo,
Jamaa yuko sawa tu, ukiangalia wakristo mungu wao ni tofauti kabisa na wa waislamu, wahindu ni tofauti na wa wayahudi n.k,
So who is God by the way
Hizo amri zaidi ya kumi zilitoka wapi?Mkuu,
Hizo amri za wayahudi zilikua zaidi ya kumi!
Vile vile, hamna ushahidi wa kutosha kihistoria unaoonyesha kwamba Musa alikuwepo...
Hili swala linachunguzwa kwa kina sana na wanahistoria ya biblia na torati.
Msingi wa Ukristo upo katika Agano Jipya na sio la Kale. Zaidi ya hapo Ukristu sio dini bali ni ufuasi wa Mungu. Msingi Mkuu wa Ukristo ni Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.Tuanze na Dini.
Msingi wa uislamu na ukristu na Judaism uko kwenye agano la kale, na agano la kale linasema kwamba Musa, ambaye aliwapa amri kumi za Mungu na kuwatoa wayahudi utumwani Misri aliishi Misri ( Afrika) tangia kuzaliwa mpaka miaka zaidi ya 40. Kama aya hii inavyosema hapa chini,
Hebu tupe hiyo definition ya Mungu wa Wakristo na tuonyeshe wapi ilipo katika Vitabu vya Wakaristo, ili usaidie madai yako.Nina uhakika "a personal god" hayupo.
Yaani hivi, nina uhakika hamna mungu ambaye amekuwa defined na Waislamu, Wakristo, Wayahudi, au dini zote ambazo zina amini kuna jamaa uko mbinguni ambaye katuumba, anatupenda, atatuchukua, ata wathibiti walio mshiti, ana tulinda kupitia malaika, kaumba ulimwengu kwa siku s(?), anataka tumsujudu, kajiumba mwenyewe :A S 11:, n.k.
Now, do I know if the bigbang theory is 100%? Of course, NOT.
Msingi wa Ukristo upo katika Agano Jipya na sio la Kale. Zaidi ya hapo Ukristu sio dini bali ni ufuasi wa Mungu. Msingi Mkuu wa Ukristo ni Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.
Zaidi ya hapo, msingi wa Uislam haupo kwenye Agano la Kale. Kwenye Uislam hakuna 10 Commandments. Kwenye Uislam hakuna Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
Mwambie huyo jamaa yako alete uthibitisho. Vain words sio hoja.
Sasa thibitisha kuwa hkuna Mungu.
SINA MUDA NA diabolical assumptions. ONLY impeccable and verifiable evidences ndio nitakubali. In-fact, those evidences must be provable, to wit
Nimependa ile sentensi kwamba " Msingi mkuu wa ukristo ni yesu kristo ambaye ni Mungu mkuu" I wanted to reverse my comments lakini nimeshindwa, naomba kuuliza, kwa hiyo pia kuna "Mungu mdogo"?Msingi wa Ukristo upo katika Agano Jipya na sio la Kale. Zaidi ya hapo Ukristu sio dini bali ni ufuasi wa Mungu. Msingi Mkuu wa Ukristo ni Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.
Zaidi ya hapo, msingi wa Uislam haupo kwenye Agano la Kale. Kwenye Uislam hakuna 10 Commandments. Kwenye Uislam hakuna Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
Kutokana na hii post, nimeelewa kuwa you have decided to reserve your comments, mimi nimeshindwa nimeamua kuuliza swali, Nkwesa Makambo yeye amesema ukiweza tu kugundua mtu alitaka kusema nini wewe tayari ni Mungu!!Hehehehe! Duh!
Allah ni mungu mdogo.Nimependa ile sentensi kwamba " Msingi mkuu wa ukristo ni yesu kristo ambaye ni Mungu mkuu" I wanted to reverse my comments lakini nimeshindwa, naomba kuuliza, kwa hiyo pia kuna "Mungu mdogo"?
Kwahiyo wewe na jamaa yako hamuwezi kuthibisha wala kusaidia madai yenu kuwa hakuna Mungu. Am I correct?Hivi kama kuna kesi ya wizi mahakamani kwa mfano, hakimu atahitaji ushahidi kuwa mtuhumiwa ameiba, au atahitaji ushahidi kama mtuhumiwa hajaiba?
Wewe unaesema kuna Mungu ndiyo unatakiwa kuleta ushahidi, and not otherwise, you have been told this a milion times now!!
I see!!Allah ni mungu mdogo.
Yesu, " Mungu Mkuu na Mwokozi" (Tito 2:13)
Hivi kama kuna kesi ya wizi mahakamani kwa mfano, hakimu atahitaji ushahidi kuwa mtuhumiwa ameiba, au atahitaji ushahidi kama mtuhumiwa hajaiba?
Wewe unaesema kuna Mungu ndiyo unatakiwa kuleta ushahidi, and not otherwise, you have been told this a milion times now!!
Angalia kwenye jibu langu, Allah anatumia small letter "m", ikimaanisha Allah sio mali kitu. Hakuumba wala sio Mungu Mkuu.I see!!
Kwa hiyo Allah ni Mungu, ila ni Mungu mdogo, Yesu ndio Mungu mkuu!!
Unaposema Allah ni Mungu mdogo na Yesu ni mkuu, unamaanisha kuwa Allah ni msaidizi wa Yesu au?
Safi kabisa:Ushahidi wa pande zote wahitajika,hata Kama ni Ku prove alibi
Kutokana na hii post, nimeelewa kuwa you have decided to reserve your comments, mimi nimeshindwa nimeamua kuuliza swali, Nkwesa Makambo yeye amesema ukiweza tu kugundua mtu alitaka kusema nini wewe tayari ni Mungu!!
Angalia kwenye jibu langu, Allah anatumia small letter "m", ikimaanisha Allah sio mali kitu. Hakuumba wala sio Mungu Mkuu.
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba. Kumbe Allah sio Mungu.
Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake?