mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Sina nia mbaya katika angalia yangu nikakutana na hizi hapa, walinzi wa viongozi wanaojulikana kama PSU wakitabasamu na wengine kucheka wakiwa kazini kwa maana kumlinda kongozi.
Kuuliza si ujinga, KWA WENYE UJUZI, KUTABASABU HAKUWEZI KUPUNGUZA UMAKINI WAKE, japo na wao ni binadamu. Kwa kuwa sina ujuzi nikaona vibaya nije kuuliza,