KIINTELIJENSIA IMEKAAJE (PSU kutabasamu wakiwa kazini)

KIINTELIJENSIA IMEKAAJE (PSU kutabasamu wakiwa kazini)

unafatilia mambo yasiyo na msingi wala tija sijui kucheka kwao kuna kuuma nini?

kwani nimesema imeniuma ndugu? Kuuliza si ujinga, tuliambiwa askari akijikuna kwny gwaride ni kosa, na hapa nimeuliza tu mbna wengne wamenijibu au we ukasirika na nini ndugu yangu, samahani lakini km nimekukwaza
 
Kwa upeo wangu mdogo huyu aliyevaa sare ni mjeshi au mpambe wa rais. Ulinzi ni unafanywa kwa kutegemeana kati ya mlinzi na mlinzi ili kuleta dhana nzima ya ulinzi so ukiona mmoja katabasamu ujue kuna zaidi ya mmoja wanaimarisha kazi na mambo yanaenda.(kwa ufahamu mdogo2)

okey najua walinzi wapo wengi, nlitaka kujua km ki-itfaki ni kosa, ahsante
 
kwani nimesema imeniuma ndugu? Kuuliza si ujinga, tuliambiwa askari akijikuna kwny gwaride ni kosa, na hapa nimeuliza tu mbna wengne wamenijibu au we ukasirika na nini ndugu yangu, samahani lakini km nimekukwaza
hapana ujanikwaza ndugu!ila nilishangaa unafuatilia mambo yasio na tija,unaonaje kama ungetoa maoni yako unataka hao jamaa wanaochekacheka waboreshe kazi yao!
 
Lol,lakini kwa mtazamo wangu nikwamba hao PSU kubwatuka na kucheka au kutabasamu umakini haupo tena kwa muda huo. Kama kulia na kucheka.
 
Baadhi hawaielewi ninachouliza! Mimi sija-critise chochote! Nlichouliza ki-itfaki kucheka sio kosa ukiwa on duty. Na ni kwa sbb nimewahi kuwaona mara nyingi lakini sijawah kuona wakicheka zaidi ya picha hizo! Nlikuwa nasoma habari kwenye blog moja habari ndio nikaona hizo nikaona nije kuuliza huku nitapata tu majibu. Sasa mtu badala ya kujibu au kunyamaza anaanza kuniambia kwamba nafatilia mambo yasio na msingi! Je kufatilia na kusomaa taarifa sio jambo la msingi au kuuliza ni ujinga? One could urgue that jambo msingi pia linategemea na interests zako, mi nina interest hapo!
 
huwa na kawaida ninipomuona kiongozi anaelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu naipenda kazi hiyo. katika angalia yangu nikakutana somewhere na hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara mmoja wakiwa kazini yani kumlinda rais. SWALI KWA WANA-INTELIJINSIA JE HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu. JE ASSUME KUNA ASSESMENT YA KUANGALIA MAPUNGUFU JE KUONEKANA UMETABASAMU TENA ZAIDI YA MARA MOJA SIO TATIZO?

Kwanza nakupa hongera kwa kuwa na interest ya kuchunguza ulinzi wa Rais ukoje. Kwa ufupi tu, sio rahisi kwako wewe au mtu mwingine ambaye sio INSIDER kujua Organisation [kama ulivyosema wewe] ya Ulinzi wa Rais. Hivyo basi kutabasamu kwa mtu mmoja sio tatizo, hiyo ni kazi ngumu inayohitaji umakini na hatua mbalimbali zinazoonekana kwa macho na zisizoonekana zinachukuliwa [wenyewe wahusika wanajua]. Pia, usidhani kila mtu aliyekaribu na Rais ni mlinzi wake. Wengine ni watumishi wa serikali au wahusika wa ziara. Mwisho, nakushauri tafuta vitabu usome maana ya "intelligence" and "security". Ukishajua tofauti, then njoo jamvini uwaelimishe wasiojua!
 
Mkubwa akitabasamu mnatakia ninyi mcheke kwa nguvu na kshangilia......ikitokea bahati mbaya amenyampa (afyujwile), mnatakiwa mumpigie makofi bila kucheka.
 
huwa na kawaida ninipomuona kiongozi anaelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu naipenda kazi hiyo. katika angalia yangu nikakutana somewhere na hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara mmoja wakiwa kazini yani kumlinda rais. SWALI KWA WANA-INTELIJINSIA JE HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu. JE ASSUME KUNA ASSESMENT YA KUANGALIA MAPUNGUFU JE KUONEKANA UMETABASAMU TENA ZAIDI YA MARA MOJA SIO TATIZO?
Angalia macho yao na tabasamu lao
 
Rais hajaja hapo kama wewe unavyoenda.

Anaweza pia akatemba bila kuna na mtu nyuma yake.

Marais wengi wa nchi za nje hawana watu wa kuandamana nao na bado wapo salama.
 
ofcourse umakini hauwezi kupotea wote, je kutabasamu hakuathiri? If nt poa lakini mpaka ametabasamu sio kwamba ameona na kuskia tu bali amelitafakari na ye likamfurahsha mpka akatabasamu(au akacheka)
kwa binadamu yeyote pasipo kujali cheo ama wadhifa wake, kutabasamu ni "reflex action"/ni jambo linalokuja automatically from the brain na halina mchakato mrefu kama ambavyo umejaribu kufafanua hapo juu kaka
 
Nacho kiona hapa nikuingilia kazi za watu. Ulinzi wa kiongozi haufanywi na walinzi wa PSU tu hapo kuna usiojua na wala kutegemea ambao tayari wametangulia kufanya coverage.
Kununua hakumanishi kuwa ndo kuwa makini na kucheua hakuondoi umakini.
 
Back
Top Bottom