Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,733
Wewe ndio Infantry Soldier?Social Services
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio Infantry Soldier?Social Services
Kama jibu halikufai potezeaWewe ndio Infantry Soldier?
mkuu, mimi nipo mitaani tu huku arusha nina hustle mtoto wa masikini. kwa nini umeuliza hivyo???Mkuu uko kitengo gan?
mkuu, kumbuka "too much laughter corrupts your mind and heart"View attachment 101539 View attachment 101540 Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu nawakubali hao watu.
Katika angalia yangu nikakutana hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara moja wakiwa kazini.
SWALI KWA WENYE UJUZI, HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu.
Mkuu kuna uzi mmoja unaozungumzia utofauti wa mwanausalama na mpelelezi uliulizwa ukasema unauza mkaa Tandale...vipi ulishaachaga kuuza?mkuu, mimi nipo mitaani tu huku arusha nina hustle mtoto wa masikini. kwa nini umeuliza hivyo???
mkuu, mimi maisha popote kaka.........mtoto wa masikini hachagui kazi ndugu yangu!!!!!!Mkuu kuna uzi mmoja unaozungumzia utofauti wa mwanausalama na mpelelezi uliulizwa ukasema unauza mkaa Tandale...vipi ulishaachaga kuuza?
Sawa mkuu komaa na mishe...ila unavitu hadimu sana hususani haya mambo ya ujasusi na upelelezi.mkuu, mimi maisha popote kaka mtoto wa masikini hachagui kazi ndugu yangu!!!!!!
asante sana mkuu, hata mimi ninajifunza mengi sana kupitia GOOGLE, tuendelee kupeana mambo kaka!!!!!!Sawa mkuu komaa na mishe...ila unavitu hadimu sana hususani haya mambo ya ujasusi na upelelezi.
Najifunza mengi kupitia wewe
kwa nini sasa unataka kuufuta mkuu???!!!!!Huu uzi ningeweza kuufuta ningefanya hivyo, sijui nilifikiria nini kuanzisha huu miaka 4 iliyopita. Anyway ni kama vile kukumbuka vituko nilivyofanya nikiwa mtoto
hata JPM naye ni mcheshi sana........Hv tuache utani utakaa around mzee wa msoga then ukashindwa kutabasamu? Wale walinzi walikuwa na kazi sana na huyu mzee.
Ni mlinzi yupi hapo uliyemtambua kwamba ni psu? Hivi psu ni nini? Na kanuni za utendaji ni zipi? Hivi kutabasamu (human emotion) ni tatizo kwa psu/mwanajeshi etc?? naomba nisaidie kunieleweshaView attachment 101539 View attachment 101540 Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu nawakubali hao watu.
Katika angalia yangu nikakutana hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara moja wakiwa kazini.
SWALI KWA WENYE UJUZI, HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu.
Presidential Security Unit. ( PSU )Ni mlinzi yupi hapo uliyemtambua kwamba ni psu? Hivi psu ni nini? Na kanuni za utendaji ni zipi? Hivi kutabasamu (human emotion) ni tatizo kwa psu/mwanajeshi etc?? naomba nisaidie kunielewesha
Then, ni nani hapo wewe umemtambua kwamba ni psu?Presidential Security Unit. ( PSU )
Na wale PPU ni sawa na hao presidential protection unitPresidential Security Unit. ( PSU )