KIINTELIJENSIA IMEKAAJE (PSU kutabasamu wakiwa kazini)

KIINTELIJENSIA IMEKAAJE (PSU kutabasamu wakiwa kazini)

Mtoa mada kakurupuka, ulinzi wa Rais haujadiliwi kwenye social network. Kama una maoni yahusuyo fuata procedures ili uyafikishe sehem husika. Tatizo nchi hii haijashiriki vita muda mrefu ndio maana vijana hatari imekuwa rafiki kwenu. Siku hizi hadi wazungu wanazungumza kiswahili.
 
Mtoa mada kakurupuka, ulinzi wa Rais haujadiliwi kwenye social network. Kama una maoni yahusuyo fuata procedures ili uyafikishe sehem husika. Tatizo hii haijashirika vita muda mrefu ndio maana vijana hatari imekuwa rafiki kwenu. Siku hizi hadi wazungu wanazungumza kiswahili.
Ni kweli nilikurupuka sana, nilikuwa na akili za kitoto. Ningeweza kuifuta hii thread ningefanya hivyo, sema haiwezekani
 
Back
Top Bottom