KIINTELIJENSIA IMEKAAJE (PSU kutabasamu wakiwa kazini)

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
View attachment 101539 View attachment 101540 Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake, huwa napenda kwa sababu nawakubali hao watu kwa umakini wao na hadithi tunazosikia kuhusu uhodari wao. Nawapongeza sana kwa kazi kubwa ya kizalendo wanayoifanya

Sina nia mbaya katika angalia yangu nikakutana na hizi hapa, walinzi wa viongozi wanaojulikana kama PSU wakitabasamu na wengine kucheka wakiwa kazini kwa maana kumlinda kongozi.

Kuuliza si ujinga, KWA WENYE UJUZI, KUTABASABU HAKUWEZI KUPUNGUZA UMAKINI WAKE, japo na wao ni binadamu. Kwa kuwa sina ujuzi nikaona vibaya nije kuuliza,
 
Je haipunguz umakini?
 
wacha wale raha zao hivi hujui kuwa kutabasamu au kucheka kunakuongezea uhai kuishi kwingi?
 
Swala zima la intelligence, umakini ni kitu cha msingi sana, Je? kucheka kunaweza kumtoa mtu katika hali ya umakini.. kama ndivyo basi inaonesha ni jinsi gani Rais wenu anavyo lindwa na kudra za anaemuamini.
 
Vipi nikikwambia kwamba kwenye picha ya pili,macho na tabasamu haviendani,jamaa yupo kazini.

ofcourse umakini hauwezi kupotea wote, je kutabasamu hakuathiri? If nt poa lakini mpka ametabasamu sio kwamba ameona na kuskia tu bali amelitafakari na ye likamfurahsha mpka akatabasamu(au akacheka)
 

Anayecheka ni Waziri Kigoda.
 
Katika mfumo wa coordination ya mwanadamu hakuna namna mwanadamu aliyetabasamu akapoteza umakini wa jambo mama alifanyalo...
Pili hapa tukionacho ni taswira mnato tu za watu wanaocheka na kutabasamu ndani ya hiyo sekunde ambayo taswiraa hiyo ilinaswa...
Tatu umakini wa mtu hupimwa kulingana na ufanisi wa mtiririko wa matukio au jambo lile alifanyalo...sio tukio moja tu au mawili...
 
Wanamlinda boss wao kishkaji. Kucheka ni dalili kuwa hawako kazini na wao ni sehemu ya mazungumzo. Wana-concentrate kusikiliza kuliko kuangalia mazingira.
 
mm nawapenda walinzi wa Obama...wako serious, hawachekicheki kama hawa wa JK!
 
Em chunguza vizuri hii picha. Hao PSU hawajawa wajinga kiasi hicho. Mjinga ni huyu aliyetangaza hiki kinachoonekana katika hii picha. Hebu ichunguze vizuri picha kwenye left breast. What do you see? Hakuna bullet proof vest hapo?

View attachment 102490





 

mimi nimeuliza tu ndugu, wala sija-criticise. Najua wanajua kazi yao nlichotaka kufaham je kucheka tena zaidi ya mara moja kama kuna punguza umakini na je ni kosa! Kama unafaham niambie, mie sijui! Ningejua nisingeuliza
 
And i dn't thnk its fair calling me 'mjinga' Highlander
 
Last edited by a moderator:

okey nashkuru
 
unafatilia mambo yasiyo na msingi wala tija sijui kucheka kwao kuna kuuma nini?
 
Kwa upeo wangu mdogo huyu aliyevaa sare ni mjeshi au mpambe wa rais. Ulinzi ni unafanywa kwa kutegemeana kati ya mlinzi na mlinzi ili kuleta dhana nzima ya ulinzi so ukiona mmoja katabasamu ujue kuna zaidi ya mmoja wanaimarisha kazi na mambo yanaenda.(kwa ufahamu mdogo2)
 
Mlacha73; You mean that birds with the same feather always are flocking together?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…