unafatilia mambo yasiyo na msingi wala tija sijui kucheka kwao kuna kuuma nini?
Kwa upeo wangu mdogo huyu aliyevaa sare ni mjeshi au mpambe wa rais. Ulinzi ni unafanywa kwa kutegemeana kati ya mlinzi na mlinzi ili kuleta dhana nzima ya ulinzi so ukiona mmoja katabasamu ujue kuna zaidi ya mmoja wanaimarisha kazi na mambo yanaenda.(kwa ufahamu mdogo2)
hapana ujanikwaza ndugu!ila nilishangaa unafuatilia mambo yasio na tija,unaonaje kama ungetoa maoni yako unataka hao jamaa wanaochekacheka waboreshe kazi yao!kwani nimesema imeniuma ndugu? Kuuliza si ujinga, tuliambiwa askari akijikuna kwny gwaride ni kosa, na hapa nimeuliza tu mbna wengne wamenijibu au we ukasirika na nini ndugu yangu, samahani lakini km nimekukwaza
And i dn't thnk its fair calling me 'mjinga' Highlander
huwa na kawaida ninipomuona kiongozi anaelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu naipenda kazi hiyo. katika angalia yangu nikakutana somewhere na hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara mmoja wakiwa kazini yani kumlinda rais. SWALI KWA WANA-INTELIJINSIA JE HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu. JE ASSUME KUNA ASSESMENT YA KUANGALIA MAPUNGUFU JE KUONEKANA UMETABASAMU TENA ZAIDI YA MARA MOJA SIO TATIZO?
Je haipunguz umakini? Si kosa?
Je haipunguz umakini? Si kosa?
mm nawapenda walinzi wa Obama...wako serious, hawachekicheki kama hawa wa JK!
Angalia macho yao na tabasamu laohuwa na kawaida ninipomuona kiongozi anaelindwa kuangalia walinzi wake wamekaaje, namaanisha wanavyojio-organize, huwa napenda tu kwa sababu naipenda kazi hiyo. katika angalia yangu nikakutana somewhere na hii hapa, walinzi wa Rais wanaojulikana kama PSU wakitabasamu tena zaidi ya mara mmoja wakiwa kazini yani kumlinda rais. SWALI KWA WANA-INTELIJINSIA JE HII KUTABASABU HAIPUNGUZI UMAKINI WAKE, najua wao ni binadamu. JE ASSUME KUNA ASSESMENT YA KUANGALIA MAPUNGUFU JE KUONEKANA UMETABASAMU TENA ZAIDI YA MARA MOJA SIO TATIZO?
ya kwanza ndo mlizi lakini picha ya pili nimtu wa kawaida huyo.Vipi nikikwambia kwamba kwenye picha ya pili,macho na tabasamu haviendani,jamaa yupo kazini.
kwa binadamu yeyote pasipo kujali cheo ama wadhifa wake, kutabasamu ni "reflex action"/ni jambo linalokuja automatically from the brain na halina mchakato mrefu kama ambavyo umejaribu kufafanua hapo juu kakaofcourse umakini hauwezi kupotea wote, je kutabasamu hakuathiri? If nt poa lakini mpaka ametabasamu sio kwamba ameona na kuskia tu bali amelitafakari na ye likamfurahsha mpka akatabasamu(au akacheka)
Mkuu uko kitengo gan?kwa binadamu yeyote pasipo kujali cheo ama wadhifa wake, kutabasamu ni "reflex actions"/ni jambo linalokuja automatically from the brain na halina mchakato mrefu kama ambavyo umejaribu kufafanua hapo juu kaka
Social ServicesMkuu uko kitengo gan?