Mtoa mada kakurupuka, ulinzi wa Rais haujadiliwi kwenye social network. Kama una maoni yahusuyo fuata procedures ili uyafikishe sehem husika. Tatizo hii haijashirika vita muda mrefu ndio maana vijana hatari imekuwa rafiki kwenu. Siku hizi hadi wazungu wanazungumza kiswahili.