mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Kilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.
Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii imetokana na kuongezeka kwa Hasira za kumsusia Rais Bunge hapo kesho wakati Spika ametengua tayari adhabu.
Source: Wabunge wa CCM
Muulize mbunge wako
==========

Kama mnavyoelewa, Serikali kupitia kwa CAG imekataa wabunge wasilipwe milioni 238 na badala yake kwa mujibu wa sheria amesema walipwe takribani milioni 130.
Wabunge wa CCM waliobaki bungeni baada ya kupata taarifa hiyo wamekubaliana kutopitisha muswada wa kuanzisha tume ya walimu jioni hii. Mbaya zaidi wamepanga kugomea hotuba ya rais kesho iwapo hawatalipwa milioni 238.
Nawapa pole waemingizwa mkenge wakapitisha miswada ya gesi yenye kumnufaisha baba riz na watu wake wakiahidiwa kulipwa milioni 238 na badala yake fedha imepunguzwa.