annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Afazali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wabunge wa sisiemu, kichwani mwao nadhani kuna upepo!
Kuna Pepo na upepo
Wewe unawajua watawala wetu?Nani anajua kanuni ya kukokotoa mafao ya wabunge? Kwa nini kuwe na kutofautiana mara 238 mara 130 CAG kapendekeza. Yaani mtu mmoja tua anamua wapewe kiasi gani bila mwongozo wowote?
Halafu kuna dogo alikuwa anazunguka na chopa hadi wakaparamia miti. Sijui atalipaje?