Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Labda kana ujauzito jamani
Post-menopausal preg!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kana ujauzito jamani
Post-menopausal preg!
Kama wamelamba pesa zote za umma unashangaa na hilo mkuu.
swissme
Post-menopausal preg!
ukitaka kukamua ng'ombe mpe concentrate. wabunge waliahidiwa concentrate badala yake watapata mashudu shauri yao na serkali yaoKilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.
Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii imetokana na kuongezeka kwa Hasira za kumsusia Rais Bunge hapo kesho wakati Spika ametengua tayari adhabu.
Source: Wabunge wa CCM
Muulize mbunge wako
==========
Labda kana ujauzito jamani
Hata Kafulila alitukanwa ndani ya Bunge na kutishiwa kupigwa na yule Tumbili mwizi mara baada ya kutujuza Watanzania kashfa nzito ya Escrow na kuitwa mzushi mkubwa, lakini penye ukweli uongo hujitenga. Sasa ukweli kuhusu escrow tunaujua.
kumbe wao cha msingi zaidi ni pesa na wala si maslahi ya Taifa. Ukawa wapo tayari kw lolote lile, pia wapo tayari kupoteza pesa ktk kupigania maslahi ya umma. Kama hivyo ndivyo CCM wanaweza hata kuuza nchi ili kupata fedha. Hatari sn
Mwisho wao ndio huooo unawadia na kwa kosa lao leo kushindwa kupitisha mambo ya walimu,wamejipalia kaa la moto
Kilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.
Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii imetokana na kuongezeka kwa Hasira za kumsusia Rais Bunge hapo kesho wakati Spika ametengua tayari adhabu.
Source: Wabunge wa CCM
Muulize mbunge wako
==========
Leo nimekumbana na kali ya mwaka, eti wabunge wa CCM wameramba shilingi za kitanzania milioni 800 ili waipitishe miswada mitatu tata, ikiwemo ya gesi na mafuta na uwazi.
Habari hizo za kijiweni zimezidi kudokeza kwamba kwa hali yoyote ile miswada mitatu ilikuwa LAZIMA ijadiliwe na IPITISHWE hata kwa bao la mkono.
Mzushi huyo akasonga mbele kwa kusema hata spika wa bunge angetukanwa ama angelazwa juu ya vitabu vya kanuni za bunge za uwasilishaji miswada; na huku akisomewa kanuni hizo na UKAWA mbele ya hornspeaker nne kumwelekea spika huyo wa bunge; bado asingezielewa kanuni zilizoandikwa na kusomwa mbele yake.
Hata kama kanuni hizo zingemfufua Nyerere bado asingezielewa tu. Hii ndiyo habari ieneayo chini kwa chini.
LISEMWALO eti lipo. Muh! Ni ngumu kumeza lakini!
Hilo alilitolea ufafanuzi juzi Mh. Mkosamali alipoulizwa na Mtangazaji wa EATV katika kipindi cha Hot Mix, kwa adhabu mliyopewa na kukatwa posho na mishahara yenu je halitawaathiri? Alijibu kua wao kama Wabunge wa Ukawa hawapo Bungeni kwa ajili ya maslahi yao na pesa wako huko kwa maslahi mapana ya watanzania na akatolea mfano kipindi cha Bunge la Katiba, walitoka Bungeni bila kujali kiasi gani cha pesa ambacho wangelipwa kama posho, Hivyo wito wangu kwa wapiga kura wote nchini October tufanye maamuzi sahihi kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya Nchi yetu kwani Magamba wote wametudhiirishia kua wapo kwa ajili ya maslahi yao na hii ni baada ya jana kugoma kuendelea na kikao cha kupitisha mswada waliokua wanaujadili.