Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
!
!
sasa watafanyaje kampeni? wengine walishaanza kukopa ili warudi mjengoni kwa huo mtaji
Imekula kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!
!
sasa watafanyaje kampeni? wengine walishaanza kukopa ili warudi mjengoni kwa huo mtaji
CAG anahusikaje katika hili?Kama mnavyoelewa, Serikali kupitia kwa CAG imekataa wabunge wasilipwe milioni 238 na badala yake kwa mujibu wa sheria amesema walipwe takribani milioni 130.
Wabunge wa CCM waliobaki bungeni baada ya kupata taarifa hiyo wamekubaliana kutopitisha muswada wa kuanzisha tume ya walimu jioni hii. Mbaya zaidi wamepanga kugomea hotuba ya rais kesho iwapo hawatalipwa milioni 238.
Nawapa pole waemingizwa mkenge wakapitisha miswada ya gesi yenye kumnufaisha baba riz na watu wake wakiahidiwa kulipwa milioni 238 na badala yake fedha imepunguzwa.
Na baba Ritz atakuwa ametundea HAKI wadanganyika pale atakapo waruka kwa asilimia 100,kwa kutosaini ule MUSWADA FEKI wa GAS na PETROL
Kingwangala ela yote ameimalizia kuzunguka kutafuta wadhamini wa Urais,,Jimbo lake la Nzega Bashe atalichukua kiulaini teh teh teh
Nina wasiwasi wabunge wa UKAWA ndio watakao katwa ila wa CCM watapewa yote.!
Ndani serikali ya JK lolote linawezakana.
Kilichokuwa kiinua Mgongo cha wabunge kimeota mbawa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa wabunge wa UKAWA kususia Bunge.
Jambo ambalo limefanya kiinua mgongo kufutwa kwa wabunge wa UKAWA, na hii imetokana na kuongezeka kwa Hasira za kumsusia Rais Bunge hapo kesho wakati Spika ametengua tayari adhabu.
Source: Wabunge wa CCM
Muulize mbunge wako
==========
Hili swala la mafao limepelekea Kigwangala kuomba mwongozo asubuhi kwa mwenyekiti wa bunge ila alichoambulia nikuambiwa linashughulikiwa. Maskin Kigwangala anataka hayo mafao kwa kila njia.
Kama mnavyoelewa, Serikali kupitia kwa CAG imekataa wabunge wasilipwe milioni 238 na badala yake kwa mujibu wa sheria amesema walipwe takribani milioni 130.
Wabunge wa CCM waliobaki bungeni baada ya kupata taarifa hiyo wamekubaliana kutopitisha muswada wa kuanzisha tume ya walimu jioni hii. Mbaya zaidi wamepanga kugomea hotuba ya rais kesho iwapo hawatalipwa milioni 238.
Nawapa pole waemingizwa mkenge wakapitisha miswada ya gesi yenye kumnufaisha baba riz na watu wake wakiahidiwa kulipwa milioni 238 na badala yake fedha imepunguzwa.
Yaani pamoja na wabunge wa Sisiemu kufanya kazi ya 'kutukuka' kwa kupitisha kwa asilimia 100 muswada ulioletwa kwa hati ya dharura wa gesi na mafuta, bado serikali imeamua kuwapiga 'teke' katika kutekeleza kwa vitendo kile kitu kinachoitwa shukurani ya punda ni mateke katika yale mafao yao, ambapo kila Mheshimiwa Mbunge alitarajia 'kulamba' shilingi milioni 230?
Ndipo hapo wabunge wa CCM wajifunze na koona faida ya kuusaliti Umma wa watanzania na kuwakumbatia wawekezaji wa nchi za nje pamoja na 'wapambe' wao hapa nchini, ambao ni watawala.
Hata hiyo milioni 130 ni pesa kubwa sana kwa uchumi wa Tanzania.
Leo kuna watu waneitumikia serikali kwa miaka zaidi ya 40 lakini kiinua mgongo chao hakifiki hata milioni 50 sembuse hao wa miaka mitano tena huku wakipata mishahara,marupurupu,posho na mikopo mikubwa na yenye masharti nafuu!!!