Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Aisee naomba iwe hivyo maana nchi hii kuna wengine waajiliwa na serikali ama wananchi ila wanaishi kama wapo peponi ili hali wengine hata mlo mmoja kwao ni kitendawili. Ameongea kwa huzuni sana Leo Mzee Warioba tofauti hizi.
Unabiwa enzi za mwali ratio ya mishahara ya watumishi wa uma ilikuwa 1:8 ila Leo ni karibia 1:50, huu ni unyanyapaa pia.
 
mgeni wenu

Safi kabisa hakuna kuwapa mil 230 wakati kuna watu wanahenyeka kiinua mgongo hakifiki mil 10 kwa mika zaidi ya 30
 
Last edited by a moderator:
Ahahaha,isingekuwa mfungo ningepiga bia tatu chap chao
 
Hii ni kweli CAG amependekeza walipwe millioni 130 na siyo 238 walizotaka. kuna dalili wabunge wa ccm kugomea nao hiyo kesho hotuba ya mwenyekiti wao

Malipo ya Wabunge yanapendekezwa na CAG?
 
Napendekeza wabunge wanaomaliza muda wao walipwe mafao yao mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu.

Hii ni kutokana na kuepuka matumizi ya pesa katika kuwalaghai wananchi na kuweka usawa wa kiushindani kati ya wagombea na wagombea.

Pia kuwasaidia wabunge wasioweza kurudi, badala ya kuziteketeza kwenye kuhonnga wapiga kura, baada ya uchaguzi waziwekeze na kutoa ajira kwa watanzania na kukuza uzalishaji.

Ni wazo langu tu.
 
Mnambie nyhe mlio karibu na CAG, hivi marupurupu na mafao ya wabunge ni CAG? Hivi sheria ya mafao ya wabunge inasemaje we Mgeni wetu. I'm confused ' CAG amebatilisha toka m.238 hadi m.130. Halafu UKAWA wameingiaje humo ktk kubadilisha maamuzi?
 
Hata mimi hili la CAG nimilishtukia ila sikutaka ku spoil uzi..maana tukianza kuchambua kila element uzuri wa hii newz utapotea...kama ni kukata atakuwa prezida wala si CAG...hata kama kuna tume inayomshauri....yeye ndo final
 
Acha kuonesha upumbav.u wapo peupe. Hakuna kitu kama hicho.

Ungekuwa karibu wewe ningekula tigo! Kama hujui au huna hakika jifunze kuuliza! Natilia shaka hata elimu yako!!
 
Mnambie nyhe mlio karibu na CAG, hivi marupurupu na mafao ya wabunge ni CAG? Hivi sheria ya mafao ya wabunge inasemaje we Mgeni wetu. I'm confused ' CAG amebatilisha toka m.238 hadi m.130. Halafu UKAWA wameingiaje humo ktk kubadilisha maamuzi?

nakwambia sasa ,,, hayo tumeyaweka ,, ila itakuwa kwa maneno na si kwa vitendo ,, kamwe,, tumefanya hivyo kupunguza jaziba za wananchi, wafanyakazi n.k, ila mwisho mpunga uko palepale… wabishi endeleeni kubisha… .full stop
 
Hata mimi hili la CAG nimilishtukia ila sikutaka ku spoil uzi..maana tukianza kuchambua kila element uzuri wa hii newz utapotea...kama ni kukata atakuwa prezida wala si CAG...hata kama kuna tume inayomshauri....yeye ndo final
Uko sahihi kabisa mafao ya wabunge ni hisani ya Rais! CAG hana mahali pa kuhoji na isitoshe CAG hukagua fedha zilizotumia na sio zitakazotumika!!
 
Hata hizo milioni 130 ni nyingi mno na hawastahili kabisa.

Walipwe milioni 130 kwa kazi gani?

Huo ni ufisadi 2.0.
 
hii itasaidia sana kuwafundisha wabunge especially wa ccm kuwa bunge ni muhimili unaojitegemea co sehemu ya ofisi ya rais

Kwa wabunge wa ccm ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa hawabadiliki
 
Na baba Ritz atakuwa ametundea HAKI wadanganyika pale atakapo waruka kwa asilimia 100,kwa kutosaini ule MUSWADA FEKI wa GAS na PETROL

Linawezekana kweli hilo?
 
sasa wametimka bungeni rasmi na kwenda ukumbi wa msekwa

Kwa yalivyo vilaza watapigwa mkwala watakubali kurudi bungeni kusudi kesho baba mbunge awahutubie
 
Hata hiyo milioni 130 nyingi sana ,, wapewe kiinua mgongo milioni 2 zinawatosha kwanza hakuna kazi yoyote wanayoifanya hapo bungeni zaidi ya kunywa bia na kula kuku chako ni chako

Hawakosagi mnadani utadhani wachoma nyama
 
Back
Top Bottom