Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kingwangala ela yote ameimalizia kuzunguka kutafuta wadhamini wa Urais,,Jimbo lake la Nzega Bashe atalichukua kiulaini teh teh teh

Kuna deni ambalo aliahidi kulilipa baada ya kudaka mshiko, sasa sijui itakuwaje!
 
Frankly speaking Wabunge wa CCM ni janga la Taifa.

Wakati wenzao (UKAWA) wanagomea miswaada mibovu isyomunufaisha mwananchi, wao CCM wanagomea kulipwa kiinua mgongo kidogo, ambacho hata hicho kidogo kinaonekana kikubwa kwa mawananchi wa kawaida?!

Hawa wabunge wa CCM, hebu wajiulize ni mwananchi gani anaweza kufanya kazi serikalini na Taasisi zake kwa MIAKA 5 akalipwa kiinuua mgongo cha 130M. Ubinafsi mwingine ni USHETANI.
 
Kwa wananchi kicheko....kwa wanaomalizia ungwe ya kuitwa waheshimiwa kilio...hapo prezida kacheza kama pere....

ha ha ha ,tuliwambia,sasa mwaka huu kampeni mtafanya kwa baiskeli kama ndo kweli zimefutwa.

na mkizengua zaidi hata kidogo kilichobaki mtalipwa baada ya mwaka huu,serikali haina hela za kuchezea....
 
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.

Miafrika bana.

Kubadilika kupo ata akina mzee butiku waalibadilika toka mbili hadi tatu
 
Wabange Wa ccm bungeni mpo Kwa ajili ya maslai yenu tu na sio taifa mbona watu wanafanya kazi serikalini miaka mpaka 30 na bado awapati hiyo 130 mnayoipinga
 
dhambi ya usaliti inawatafuna.sijapata kuona watu wabinafsi na wanafiki kama wabunge wa ccm.
 
Wabunge wa ccm watakufa kwa presha huko majimboni wanajua mwaka huu kimeshanuka.
 
Serikali imewasubiri wapitishe miswaada ya gesi na petrol na mingine ya muhimu kwa matumbo yao ndio ikawaletea hicho kiinua mgongo kilichopunguzwa.
Wabunge wa magamba ndio wajue kuwa wanatumiwa tu.
UKAWA wana akiri wanaona mbali kwa kupinga sheria onevu ya gesi na petrol wao wanasema ndioooo.
 
Kingwangala ela yote ameimalizia kuzunguka kutafuta wadhamini wa Urais,,Jimbo lake la Nzega Bashe atalichukua kiulaini teh teh teh

Huyu Kigwangala asubuhi alimwambia Zungu wawe makini kuhusu minong'ono ya kuharibu sikunya kesho ya kuvunja.bunge. sijui ni minong'ono gani kwani Zungu alisema alikuwa na taarifa na walikuwa makini.
 
Kwa wananchi kicheko....kwa wanaomalizia ungwe ya kuitwa waheshimiwa kilio...hapo prezida kacheza kama pere....

Hapana mkuu Pele ili kuwa enzi za Nyerere mpira tunauona kwenye sinema za promotion ya sabuni ya OMO kila mwisho wa mwezi pale Ilala uwanja wa Amana,siku hizi kacheza kama Messi
 
Back
Top Bottom