Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

hahahahha bao la kisigino wamepigwa naona wanalalamika kuendelea na kikao la wametulizwa kwamba majibu saa 11
 
Ni kweli kuna sintofahamu kubwa bungeni kwa sasa, ni baada ya wabunge wa ccm kutishia kutokumalizia kazi za bunge zilizobakia kama hawatapewa majibu ya nini kinaendelea kuhusu mafao yao
 
mgeni wenu

Sijaelewa. Ina maana kiinua mhongo kwa Ukawa au kwa wote? Kama ni kwa wote sawa. Kama.ni sehemu tu.ni kwamba wanaleta vita.
 
Last edited by a moderator:
Aisee nchi hii noma sana.Ni upwagu tu unaoendelea.Yaani jamaa wameingizwa mkenge hivi hivi.Duh,hata wabunge wanachezewa akili kama watoto,nilidhani ni wananchi tu.Ni mchezo sasa wa paka na panya.Kweli tumefika mbali.
mgeni wenu
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kweli CAG amependekeza walipwe millioni 130 na siyo 238 walizotaka. kuna dalili wabunge wa ccm kugomea nao hiyo kesho hotuba ya mwenyekiti wao

Kwa maana nyepesi ni kuwa wabunge wa ccm wapo zaidi ki maslahi?
 
Hii habari ni msiba mzito kwa Tundu Lissu alishaipigia hesabu hii pesa mpaka akakiri kuwa ubunge umemtia umasikini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom