suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,209
Jamani wabunge wa sisiemu, kichwani mwao nadhani kuna upepo!
Upepo? Nadhani tope!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wabunge wa sisiemu, kichwani mwao nadhani kuna upepo!
Yaani pamoja na wabunge wa Sisiemu kufanya kazi ya 'kutukuka' kwa kupitisha kwa asilimia 100 muswada ulioletwa kwa hati ya dharura wa gesi na mafuta, bado serikali imeamua kuwapiga 'teke' katika kutekeleza kwa vitendo kile kitu kinachoitwa shukurani ya punda ni mateke katika yale mafao yao, ambapo kila Mheshimiwa Mbunge alitarajia 'kulamba' shilingi milioni 230?
Ndipo hapo wabunge wa CCM wajifunze na koona faida ya kuusaliti Umma wa watanzania na kuwakumbatia wawekezaji wa nchi za nje pamoja na 'wapambe' wao hapa nchini, ambao ni watawala.
Ndio maana Kigwangala aliomba muongozo kuhusu minong'ono bila kutaja minong'ono inahusu nini na bila shaka aliona aibu hata kutamka.
Mibunge ya CCM iko after money na maslahi yao tu!
Duuh hii habari ni pigo kwa wabunge wa CCM.
wamehairisha kikao kwa visingizio ili wabunge wa CCM wakutane kuweka msimamo.Ndasa yule fisadi posho wa BMK anataka kulia!
Mod Thread kama hizi ni za kufuta tunamaliza bundle kufungua upuuzi.
Kuna ulazima wa kufungua kila uzi?
Lema ataandamana sana hatokubali kuicheza kete yake ya mwisho
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.130 bado nyingi sana kwakua mshahara yao mikubwa ilitakiwa walipwe mishahara mitatu ~35m.