mr mapenzi
Member
- Aug 30, 2013
- 77
- 35
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.
Miafrika bana.
duh alisema 230 ni vijisenti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.
Miafrika bana.
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.
Miafrika bana.
Kama mnavyoelewa, Serikali kupitia kwa CAG imekataa wabunge wasilipwe milioni 238 na badala yake kwa mujibu wa sheria amesema walipwe takribani milioni 130.
Wabunge wa CCM waliobaki bungeni baada ya kupata taarifa hiyo wamekubaliana kutopitisha muswada wa kuanzisha tume ya walimu jioni hii. Mbaya zaidi wamepanga kugomea hotuba ya rais kesho iwapo hawatalipwa milioni 238.
Nawapa pole waemingizwa mkenge wakapitisha miswada ya gesi yenye kumnufaisha baba riz na watu wake wakiahidiwa kulipwa milioni 238 na badala yake fedha imepunguzwa.
Jamani wabunge wa sisiemu, kichwani mwao nadhani kuna upepo!
kumbe wao cha msingi zaidi ni pesa na wala si maslahi ya Taifa. Ukawa wapo tayari kw lolote lile, pia wapo tayari kupoteza pesa ktk kupigania maslahi ya umma. Kama hivyo ndivyo CCM wanaweza hata kuuza nchi ili kupata fedha. Hatari sn
Ila si upepo kama ule wa Singida unaofaa kuzalisha umeme!
Lema ataandamana sana hatokubali kuicheza kete yake ya mwisho
letisia nyerere anaweza kulia mpaka akajinyonga kwa habari hii
Wewe jamaaa mnafiki sana kwenye uzi wangu wa kupinga kiinua mgongo ulisema hizi pesa ni ndogo sana leo hii umebadilika.
Miafrika bana.
Na mimi nilisoma hii somewhere ndo nikaprove pesa mwanaharamu....haina UKAWA wala CCMHii habari ni msiba mzito kwa Tundu Lissu alishaipigia hesabu hii pesa mpaka akakiri kuwa ubunge umemtia umasikini.
130 M bado ni nyingi sana, ingepungua kuwa 50 M hivi