Kijana adaiwa kufariki akijichua

Kijana adaiwa kufariki akijichua

Huyo mama Hana hoja,ok tuchukulie kafa Kwa kupiga nyeto ,je ni matukio mangapi Kwa mwezi hutokea Kwa watu kufa wakipiga nyeto!? Yeye kapendekeza watu waoe ili wasife Kwa kupiga nyeto,je ni watu wa ngapi wanakufa sababu ya ndoa!? Ndoa inaua takribani watu 100 Kwa mwezi,lakini nyeto toka nizaliwe Leo ndo nasikia mtu kakufa sababu ya nyeto.
 
Kila nafsi itayaonja mauti...
1 Wathesalonike 4 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
¹⁶ Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
¹⁷ Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani;
na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.

BWANA YESU AKIJA SASAHIVI ATANINYAKUA, SITOONJA MAUTI, NI SEKUNDE MOJA KUFUMBA NA KUFUMBUA NINABADILIKA
 
Kila nafsi itayaonja mauti...
1 Wakorintho 15 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁵¹ Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
⁵² kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika.
⁵³ Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.

KUFUMBA na KUFUMBUA!. hakuna mauti hapo!
 
Back
Top Bottom