Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGP Sirro amesema hawajapokea mashitaka ya mlalamikaji yeyote kwa hiyo hawawezi kufanya upelelezi, angekuwa amepigwa risasi policcm sijui kama wangesubiri mtu apeleke malalamikoHuyu katishia tu kwa maneno ..
Vipi wale waliokuwa wanamfatilia Lissu ,na hatimaye kumshambulia kwa risasi mchana kweupe, walishapatikana na kuhukumiwa...?
Mkuu ni kweli musiba aliyasema hayo ?.Televised address Cyprian Msiba amesema wazi wazi Lissu akirudi atampiga risasi afe na safari hatakosea shabaha! kipi kimechuliwa??? Spare me with rubbish
Swali zuri, wangempiga hata faini ya shs elf 10Kwani hilo kosa halina faini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kudandia treni kwa mbele, halafu Pathetic mmmh not bad maendeleo yanakuja kuja kwa mbaaaaali
Katenda kosa tarehe 26/nov Leo tarehe 4/12 na hukumu tayari imeshatoka!!! Pongezi kubwa kwa Mahakama kwa kuendesha kesi ushaidi kukamilika na kutoa hukumu ndani ya wiki moja toka mshtakiwa kutenda kosa.Mahakama nyingine nchini kote ziige mfano huu maana kuna ndg, rafiki, jamaa zetu wengi sana wapo mahabusu bila kujua hatma ya mashtaka yao.
Nani ndio nembo ya Taifa ?.Tuelewane kidogo
lissu siyo Nembo ya Taifa.
watu wasio julikana walikuwa around si unajua tena vijiwe vya magazeti na kahawa ndo zaoHuyo raia mwema mwenye kihere here hivyo ni sijawahi ona.
Jifunze tu kuheshimu tu watu hasa ambao hauwajuiUmebaki wewe na Sky Eclat ipo siku lazima mnyee debe!
Ikiwa mie nina ID zaidi moja basi nife leo lakini kama nina ID hii moja, basi wewe unatumia zaidi uti wa mgongo kuliko ubongo. Ungeweka ushahidi juu ya hizo ID nyingine. Kilichonishangaza ulivyoongea kwa uhakika wakati hata hujui lolote. Inawezekana kabisa wewe sio mtuWapi huko? Acha uongo na ID zako kibao.
Halafu nimekujibu mwanzo kabla ya kusoma michango yako mingine sorry sikujua wewe ni mtu wa aina gani. Nina hakika katika majibu yangu ya mwanzo huwezi na hutaweza kuelewa hata mwisho wa duniaWapi huko? Acha uongo na ID zako kibao.
Hapana ni kiumbe tu yeyote asiye na uwezo wa kutafakariMimi jini
Kwani sentesi yangu kuna sehemu nimesema jini sio kiumbe?Hata jini ni kiumbe mkuu
Kwa mtazamo binafsi uko sawa coz Kuna makosa makubwa zaidi ya hayo husamehewa but sometime Sheria haitaji kupinda pinda, Kama dogo angekataa hajafanya na Kama Kuna ushahidi uletwe Basi kungekuwa na uwezekano wa kuepuka adhabu hiyo[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Sijaona kosa hapo la kumfanya mtu afungwe jela miaka miwili, huyu mkuu wa malaika atakuja kulipa haya yote wanayofanyiwa wanyonge, nasema tena sijaona kosa, Askari polisi mmoja kule mkoani mara alimuua kijana mmoja raia ambaye hakuwa na silaha yeyote na mwisho wa siku akafutiwa kesi iliyokuwa inamkabiri, Askari polisi aliyefyatua risasi ya moto akaua Akwilina amefutiwa kesi, huyu kijana wa watu anafanya utani kusema kusema ataua jiwe anafungwa, huyu ungeweza kumpa kazi ya kufanya kwenye ofisi za umma kama karipio (na ina tija) na si kumfunga, hapo rais anafurahi sana.
Tatizo lenu kubwa hatuelewani, sijui nitumie lugha gani, na kwa sababu mmelogewa kuunga mkono serikali hii dhalimu, basi kila linalofanywa na wateuliwa wa rais mnaona liko sawa, nimehoji hapo juu, hivi kweli hilo lilikuwa kosa la kumpeleka mtu jela ?, ndio mimi nikajibu kwamba sijaona kosa la kumfanya huyo kijana afungwe, na mkae mkielewa, kule magereza kuna watu wengi sana wamefungwa kwa makosa either ya kusingiziwa au ya kuonewa, lakini pia kuna watu wengi sana wameachwa uraiani na wakati walitakiwa kuwa magereza, nasikitika watanzania tunafurahia watu wanaendesha nchi kama mali zao binafsi, kijana mmoja huko mkoani geita alihukumiwa kulia faini ya shs 40,000 au kwenda jela miaka miwili, hakua na hela pale kwa sababu alitokea magreza alipokuwa mahabusu, hakuna mtu wa kumsaidia hakimu hata jhakujisumbua kumuuliza kama anaweza kupata mtu wa kumuwesha kulipa hiyo, akapelekwa magereza.Kwa mtazamo binafsi uko sawa coz Kuna makosa makubwa zaidi ya hayo husamehewa but sometime Sheria haitaji kupinda pinda, Kama dogo angekataa hajafanya na Kama Kuna ushahidi uletwe Basi kungekuwa na uwezekano wa kuepuka adhabu hiyo[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]